Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.

Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani. Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia bado akiingia kwenye ndoa anaendelea kufanya uzinzi tu..Jaribu kusoma thread nyingi ndani ya MMU utaona nyingi zinaongelea kusalitiana, kufumaniana,kugongewa yaani shida tupu.

Je, ni vyakula hivi ambavyo vimebadilisha mihemko ya miili yetu mpaka tunakuwa na hamu ya uzinzi hadi usoni kwetu. Tuwe wakweli humu ndani wadada wengi wana matatizo kwenye mahusiano yapo ndio maana baadhi yao michango yao huwa ukiifikiria utadhani siyo mwanamke.

Ebu wakati tunaelekea mwisho wa mwaka tujaribu kujiuliza nini tumemkosea mungu mpaka tunakuwa na hulka ya uzinzi kiasi hicho.

Leo tu kuna mdau amesafiri kibiashara mke wake wa ndoa ameingiza mwanaume kwenye kitanda chake kwa ajili ya kuzini hivi hamuoni aibu?
Mnakera kwa kweli.
 
Kisasi ndiyo chanzo.Wanaamua kushndana na wanaume.badala ya kupiga goti kwa mungu.

Sasa kulipiza siyo solutions unadhani anayeabika ni nani kati ya aliyetenda kwa kuhisiwa na huyu atakaye amua kuvua nguo zake kwa ajili ya kulipiza na kujiabisha..
 
Wengi ni kwa hasira na kulipiza visasi kwa waume zao..unakuta mume ni mwenye mahusiano mengine nje ya ndoa yake,mwanamke anavumiliaa wee mwisho wa siku anachoka..na kutengana hataki labda anahurumia watoto wake...na hapo labda njia nyingine zote za kumtuliza mume zimeshindikana..basi wanaamua na wao kuzurura nje ya ndoa sasa..inakua ngoma droo tu
mkuu, wahi kavae helementi na buleti proof. Ngoja niwaite Heaven on Earth mwallu DEMBA amu mnaulizwa na Akili Unazo! Huku
 
Unadhani mtu atahisi tu nakuamua kutoka nje? Huwa wanakua na vithibitisho..na pengine mume hashauriki au habadili tabia...na aibu ni kwa wote
Sasa kulipiza siyo solutions unadhani anayeabika ni nani kati ya aliyetenda kwa kuhisiwa na huyu atakaye amua kuvua nguo zake kwa ajili ya kulipiza na kujiabisha..
 
hii inaaplai pia kwa wanaume sio wanawake peke yao. Tena wanaume ndio mmezidi maana mtu anamuona tu mdada hata km ni stendi ya basi anahemka na kumtaka akamlale...hili suala ni la kuangaliwa KIJAMII kwa ujumla wake zaidi na sio kuelemea upande wa wanawake tu.
 
Hao wanawake huo uzinzi wanafanya na nani?
Umevurugwa wewe si bure
 
Mimi nachomshauri ni akazane kula vyakula vya asili na mazoezi tutaenda sawa pia asivae boxer mbichi na zinazobana sana.
Kitu kingine akiona mzigo unamuelemea uwanjani ajipe red card atafute size.Siyo kulalama.
mkuu, wahi kavae helementi na buleti proof. Ngoja niwaite Heaven on Earth mwallu DEMBA amu mnaulizwa na Akili Unazo! Huku

wanaume mjishughulishe haya matatizo yatakwisha
 
Last edited by a moderator:
Hata Kongosho kauliza au ndo ile dhana mwanamke akidai kufikishwa ni mala.ya au anayejua mchezo ipasavyo ni muuza k?yule gogo au asiyejua mautamu ambae akikojolewa kwa paja hewala.
Hao wanawake huo uzinzi wanafanya na nani?
Umevurugwa wewe si bure
dada waambie waache kutujadili jadili ovyo.
Hao wake zao wawakune wakunike uone kama watagawa ovyo!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nachomshauri ni akazane kula vyakula vya asili na mazoezi tutaenda sawa pia asivae boxer mbichi na zinazobana sana.
Kitu kingine akiona mzigo unamuelemea uwanjani ajipe red card atafute size.Siyo kulalama.

wanaume mjishughulishe haya matatizo yatakwisha
amu we una..........??????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom