Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

hahaha mwallu kama hilo ndio lengo si umwambie tu kuliko kwenda kukichakaza huko?? Huoni utajitesa mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Kweli akili unazo, huo uzinzi wanafanya na nani?
Au unamaanisha wasagaji wameongezeka?

hata mm nimeshangaa et wanawake.wewe sema kwann uzinz umeongezeka duniani kwa wanandoa sio useme wanawake..wanaowashawishi ni kina nani? kweli akili hunazo!
 
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.
Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani..Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia bado akiingia kwenye ndoa anaendelea kufanya uzinzi tu..Jaribu kusoma thread nyingi ndani ya MMU utaona nyingi zinaongelea kusalitiana, kufumaniana,kugongewa yaani shida tupu.
Je ni vyakula hivi ambavyo vimebadilisha mihemko ya miili yetu mpaka tunakuwa na hamu ya uzinzi hadi usoni kwetu...Tuwe wakweli humu ndani wadada wengi wanamatatizo kwenye mahusiano yapo ndio maana baadhi yao michango yao huwa ukiifikiria utadhani siyo mwanamke ..

Ebu wakati tunaelekea mwisho wa mwaka tujaribu kujiuliza nini tumemkosea mungu mpaka tunakuwa na hulka ya uzinzi kiasi hicho.
Leo tu kuna mdau amesafiri kibiashara mke wake wa ndoa ameingiza mwanaume kwenye kitanda chake kwa ajili ya kuzini hivi hamuoni aibu???
Mnakera kwa kweli
Nikua na manzi kutoka karibu na kwa pk karibu na ziwa kuu kwa dagaa chungu
Sina hamu maana ilikua aibu nikambana akaniambia awezi kukaa siku 3 bila kugegedwa nikaona nimeleta jini kwa nyumba
 
Nikua na manzi kutoka karibu na kwa pk karibu na ziwa kuu kwa dagaa chungu
Sina hamu maana ilikua aibu nikambana akaniambia awezi kukaa siku 3 bila kugegedwa nikaona nimeleta jini kwa nyumba
Mbona unachezea bahati mzeya
 
Back
Top Bottom