Kwa nini wanawake wengi wanamihemuka ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini..


Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,283
Likes
3,224
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,283 3,224 280
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.
Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani..Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia bado akiingia kwenye ndoa anaendelea kufanya uzinzi tu..Jaribu kusoma thread nyingi ndani ya MMU utaona nyingi zinaongelea kusalitiana, kufumaniana,kugongewa yaani shida tupu.
Je ni vyakula hivi ambavyo vimebadilisha mihemko ya miili yetu mpaka tunakuwa na hamu ya uzinzi hadi usoni kwetu...Tuwe wakweli humu ndani wadada wengi wanamatatizo kwenye mahusiano yapo ndio maana baadhi yao michango yao huwa ukiifikiria utadhani siyo mwanamke ..

Ebu wakati tunaelekea mwisho wa mwaka tujaribu kujiuliza nini tumemkosea mungu mpaka tunakuwa na hulka ya uzinzi kiasi hicho.
Leo tu kuna mdau amesafiri kibiashara mke wake wa ndoa ameingiza mwanaume kwenye kitanda chake kwa ajili ya kuzini hivi hamuoni aibu???
Mnakera kwa kweli
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,864
Likes
180
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,864 180 160
mkuu, wahi kavae helementi na buleti proof. Ngoja niwaite Heaven on Earth mwallu DEMBA amu mnaulizwa na Akili Unazo! Huku
 
Last edited by a moderator:
Maysally

Maysally

Member
Joined
Dec 6, 2013
Messages
54
Likes
0
Points
0
Maysally

Maysally

Member
Joined Dec 6, 2013
54 0 0
Kisasi ndiyo chanzo.Wanaamua kushndana na wanaume.badala ya kupiga goti kwa mungu.
 
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,283
Likes
3,224
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,283 3,224 280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,283
Likes
3,224
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,283 3,224 280
Kisasi ndiyo chanzo.Wanaamua kushndana na wanaume.badala ya kupiga goti kwa mungu.
Sasa kulipiza siyo solutions unadhani anayeabika ni nani kati ya aliyetenda kwa kuhisiwa na huyu atakaye amua kuvua nguo zake kwa ajili ya kulipiza na kujiabisha..
 
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,283
Likes
3,224
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,283 3,224 280
Kweli akili unazo, huo uzinzi wanafanya na nani?
Au unamaanisha wasagaji wameongezeka?
Mkuu haya yote ni matokeo ya haya mambo ambaye hataki kusagwa basi ataingia kwenye kundi nililolilenga
 
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
6,784
Likes
172
Points
160
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
6,784 172 160
wengi ni kwa hasira na kulipiza visasi kwa waume zao..unakuta mume ni mwenye mahusiano mengine nje ya ndoa yake,mwanamke anavumiliaa wee mwisho wa siku anachoka..na kutengana hataki labda anahurumia watoto wake...na hapo labda njia nyingine zote za kumtuliza mume zimeshindikana..basi wanaamua na wao kuzurura nje ya ndoa sasa..inakua ngoma droo tu
mkuu, wahi kavae helementi na buleti proof. Ngoja niwaite Heaven on Earth mwallu DEMBA amu mnaulizwa na Akili Unazo! Huku
 
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
6,784
Likes
172
Points
160
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
6,784 172 160
unadhani mtu atahisi tu nakuamua kutoka nje? huwa wanakua na vithibitisho..na pengine mume hashauriki au habadili tabia...na aibu ni kwa wote
Sasa kulipiza siyo solutions unadhani anayeabika ni nani kati ya aliyetenda kwa kuhisiwa na huyu atakaye amua kuvua nguo zake kwa ajili ya kulipiza na kujiabisha..
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,415
Likes
28
Points
135
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,415 28 135
hii inaaplai pia kwa wanaume sio wanawake peke yao. Tena wanaume ndio mmezidi maana mtu anamuona tu mdada hata km ni stendi ya basi anahemka na kumtaka akamlale...hili suala ni la kuangaliwa KIJAMII kwa ujumla wake zaidi na sio kuelemea upande wa wanawake tu.
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
63
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 63 145
Hao wanawake huo uzinzi wanafanya na nani?
Umevurugwa wewe si bure
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,062
Likes
8,291
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,062 8,291 280
Mimi nachomshauri ni akazane kula vyakula vya asili na mazoezi tutaenda sawa pia asivae boxer mbichi na zinazobana sana.
Kitu kingine akiona mzigo unamuelemea uwanjani ajipe red card atafute size.Siyo kulalama.
mkuu, wahi kavae helementi na buleti proof. Ngoja niwaite Heaven on Earth mwallu DEMBA amu mnaulizwa na Akili Unazo! Huku
wanaume mjishughulishe haya matatizo yatakwisha
 
Last edited by a moderator:
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,062
Likes
8,291
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,062 8,291 280
Hata Kongosho kauliza au ndo ile dhana mwanamke akidai kufikishwa ni mala.ya au anayejua mchezo ipasavyo ni muuza k?yule gogo au asiyejua mautamu ambae akikojolewa kwa paja hewala.
Hao wanawake huo uzinzi wanafanya na nani?
Umevurugwa wewe si bure
dada waambie waache kutujadili jadili ovyo.
Hao wake zao wawakune wakunike uone kama watagawa ovyo!
 
Last edited by a moderator:
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
Mimi nachomshauri ni akazane kula vyakula vya asili na mazoezi tutaenda sawa pia asivae boxer mbichi na zinazobana sana.
Kitu kingine akiona mzigo unamuelemea uwanjani ajipe red card atafute size.Siyo kulalama.


wanaume mjishughulishe haya matatizo yatakwisha
amu we una..........??????
 
Last edited by a moderator:
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,283
Likes
3,224
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,283 3,224 280
kaangalie kwenye kamusi; mtoa mada yuko sahihi!!!
Asante mkuu kwa kuweka maana halisi kama ilivyo kwenye vitabu dadavua..nimekupa like ukweli hawataki kuupokea
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
903
Likes
114
Points
60
Age
26
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
903 114 60
kwani hao wanawake wanafanya na migomba au na wanaume. uzinzi umeongezeka kwa wote tuwen makin jaman..
 

Forum statistics

Threads 1,252,124
Members 481,989
Posts 29,796,487