Kwa nini wanawake wengi siku hizi hawaolewi? Kwasababu wengi hupishana na waume zao

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,518
MAPENZI ya siku hizi ili mwanamke ajue anapendwa lazima uumpe Hela la sivyo Umetoswa!
1.Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME

2.Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe HAPO UMEPISHANA NA MUME

3.Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna HAPO UMEPISHANA NA MUME.

4.Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. HAPO UMEPISHANA NA MUME

5.Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.

6.Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. HAPO UMEPISHANA NA MUME

7.Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. HAPO UMEPISHANA NA MUME

8.Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME -.

9.Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. HAPO UMEPISHANA NA MUME

10.Mwanamke unaweka picha mapaja wazi, kifua umebust. HAPO UMEPISHANA NA MUME

11.Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu HAPO UMEPISHANA NA MUME

12. Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. HAPO UMEPISHANA NA MUME

13. Mwanamke kila vazi unalovaa jamii nzima lazima ikutazame. HAPO UMEPISHANA NA MUME

14. Mwanamke kabandika mikope mirefuu, na makucha kama Mwewe unajiuliza huyu dada atafuaje hata chupi zake??
HAPO UMEPISHANA NA MUME

#Zingatia
Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Jiulize kwanza ni mara ngapi umepishana na mume.???
UJANJA NI KUMCHA BWANA TU,AKUPE HEKIMA YAKE.
FB_IMG_1575866369329.jpeg
FB_IMG_1575284001953.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom