Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

hii inaweza kuwa na ukweli flani kutokana na wanawake wengi wazuri kujiamini zaidi na kutokuwa na wasiwasi wa kutoswa kwa kuwa anajua soko lake ni kubwa!!lkn na sisi wanaume pia huwa hatujiamini ktk kumfuata yule unaemuona ni mzuri kwa kuogopa kutoswa na ushindani!si wanawake wote wazuri wana kiburi na dharau

Wit; thanks Mkuu.

This is one of a very basic fact.

On the other side of the coin, these womens are just victims of Inferiority Complex men ambao hawawezi kuwaaproach the so called "Beautiful women"

Respect sana Mkuu.
 
Wanafuatwa na wanaume wengi kiasi kwamba hata kujua ni yupi wa ukweli inakuwa ngumu, na sehemu kubwa ya wanaume wanao wafuata ni kwa sababu ya tamaa za mwili akishatimiza haja yake basi anapotea au anatafuta msichana mwingine anamuoa. Ni kweli kuna baadhi ya wasichana wazuri ukiwa nao ujiandae kufa kwa ugonjwa wa moyo, japo wapo wengine wanajiheshimu sana. Kwa wale tusiopenda BP za ujanani tunajitafutia material wife then tunatulia kwa raha zetu. Huwa naangalia ndoa nyingi kanisani ninaposali mara nyingi ni wasichana wa kawaida sana. Japo msichana mzuri kama anajiheshimu ni rahisi sana kuolewa japo wengi tamaa za dunia zinawaponza.

Tuko ukurasa moja Mkuu Vumbi.

Respect.
 
kaka hujajua kuna wanawake wa kuchakachua na kuoa; ukitaka kuchakachua tafuta aliye mrembo kwa sura na umbo (kama vile ukitaka kula nguruwe tafuta aliyenona ), BUT ukita kuoa tafuta mzuri wa tabia, urembo ni added advantage
 
Mbona me mke wangu ni mzuri na nimemuoa. We kama unawaogopa ni wewe wengine tumeoa wake wazuri sana hadi tunajikubari. Hao nh watu wa kawaida tu km wengine jaribu kujenga urafiki nao utagundua kuwa hawana utofauti na wengine!

Tuko pamoja Mago;

jamaa wameshindwa kupata watoto wa nguvu kwa kukosa confidence, sasa wanakuja na visingizio vingi na bla blaa za kila haina. A man always should take a lead.

Respect.
 
kaka hujajua kuna wanawake wa kuchakachua na kuoa; ukitaka kuchakachua tafuta aliye mrembo kwa sura na umbo (kama vile ukitaka kula nguruwe tafuta aliyenona ), BUT ukita kuoa tafuta mzuri wa tabia, urembo ni added advantage

A very negative thought.

Tasfaction ya ngono ina uhusiano gani na physical beauty ya mwanamke?

Is the perfect Ngono supposed to be strong on emotional attchment and inner beauty or just physical apprearance?

If it is a matter of Physics, why dont buy Sex.

If it is a matter of Chemistry, achani kuwaharibu hawa mabinti nao waishi kama wengine na kuona maana ya maisha.

QED.
 
Wit; thanks Mkuu.

This is one of a very basic fact.

On the other side of the coin, these womens are just victims of Inferiority Complex men ambao hawawezi kuwaaproach the so called "Beautiful women"

Respect sana Mkuu.

mkuu hili nimeliona sana,washkaji wengi wanasita sana kumtokea binti mzuri na hata ikatokea akampata na kuwa nae kny uhusiano ile kutokujiamini inapelekea kuwa na conflict zisizo na msingi kwa ajili ya wivu uliopitiliza,n.k!lkn pia baadhi ya hawa beauties wanakuwa na tamaa kwa ajili ya kufatwa na wenye pesa na watu wenye status kubwa kwa hiyo wanakuwa hawako stable kny mapenzi kitu kinachopelekea wao kuishia kuwa living single,kutokana na kuchagua sana.
 
After going through several posts and replies in this thread, I came up with the following additional suggestions why Beautiful women are still single or not married:

1. Nice men are ugly.
2. Handsome men are not nice.
3. Handsome, nice men are married.
4. Men who are not so handsome, but are nice have no money
5. Men who are not so handsome, but are nice men with money think beautiful women are after their money.
6. Handsome men without money are after Beautiful Women money.
7. Handsome men, who are not so nice, don't think Beautiful Women are beautiful enough.
8. Men who think women are beautiful, somewhat nice and have money, are cowards.
9. Men who are somewhat handsome, somewhat nice and have some money are shy and never make the first move
10. Men who never make the first move, automatically lose interest in beautiful women when the women takes the initiative
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%.

mfano wa haraka angalia tu hawa mabinti wetu waliovuma katika mashindano ya Umiss. Visa vyao vya kutembea na Wanaume Hunters na wenye pesa haviishi.

Ni wachache wa wanawake hawa ambao watakuwa na Inner Beauty ndo wanaolewa. Wanaooelewa bila Inner Beauty ambayo Wakuu wa jukwaa mnaita "Wife Material" basi ndoa zao zinajaa visa vya kila aina.

Ni nani hasa alaumiwe?
 
weng wa wazuri hao wanatumika sana kwa kigezo cha kutafuta bwana wakijashtuka zama zao zimekwasha kabaki skrepa... na wanaume hupenda kuwatunia tu wenye sifa hizo
 
kikubwa wanaume tujiamini,mke wangu ni mzuri wa sura,umbo,na tabia na maisha yanakwenda,utaniambia uzuri uko machoni kwa mtu!ni kweli lkn kama anasifiwa na kila anaemuona basi nashawishika kusema ni mzuri,sisi wanaume tunahitaji kuondoa mitizamo hasi tuliyojiwekea kwa haya maua ya mungu,pia tuache mchezo mchafu wa kuwashawishi vinginevyo ni wake wema sana,kwanza huwa hawana maringo maana wanajiamini halafu ni watu wa watu au niseme ni watu ambao huwa wanafurahiwa na watu wengi.
 
ALAA!! Kumbe!!!
Sasa mnalalamika nini na kumbe wabaya wenu ni nyinyi wenyewe?

Hawaoleki kwa vile mnaharibiana wenyewe kwa wenyewe.

ni kweli wala sikubishii sisi wenyewe wanaume ndo tunaharibiana na kuwaharibu wasichana
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%.

mfano wa haraka angalia tu hawa mabinti wetu waliovuma katika mashindano ya Umiss. Visa vyao vya kutembea na Wanaume Hunters na wenye pesa haviishi.

Ni wachache wa wanawake hawa ambao watakuwa na Inner Beauty ndo wanaolewa. Wanaooelewa bila Inner Beauty ambayo Wakuu wa jukwaa mnaita "Wife Material" basi ndoa zao zinajaa visa vya kila aina.

Ni nani hasa alaumiwe?

mkuu allien,umesema neno maana mifano halisi tunaiona!hapa tunawalaumu wote!wanaume wanalaumiwa kwa kutojiamini na uwezo wao wa kushawishi kwa ajili ya kuchakachua na kukimbia!hawa beauties wanalaumiwa kwa kutokuwa na moyo wa utulivu ktk kuchagua yupi wa kusettle nae pia tunaweza kuwalaumu wale baadhi wanaokuwa na tamaa za kutembea na wakuu mbali mbali kwa ajili ya kuwa na status flani.
 
HII NI DHANA TU AMBAYO HAINA UKWELI KIVILE (myth).

Ukisema wanawake wazuri hawaolewi, ni sawa na kusema wanaume matajiri au wenye kipato kikubwa hawafai kuwa waume.

Kuna kitu ambacho tunakisahau.Haya makundi mawili niliyoyataja hapo juu kwa kiasi kikubwa huwa kikwazo kwa mafanikio ya ndoa.Mwanaume mwenye pesa mara nyingi huwa na tamaa inayompelekea kufuata wanawake wenye sura na maumbo yenye mvuto zaidi. Hii ni sheria ya asili na siyo ajabu. Hatuwezi kuwahukumu wanawake wote wenye mvuto wa ziada wala wanaume wote wenye kipato au uwezo mkubwa kiuchumi kuwa hawafai kuwa wenza wa ndoa.
 
pia wanawake wengi wako tayari kufuata yale wanayoambiwa na marafiki wasichana wenzao kiasi kwamba bila kushauriwa nao hawezi kufanya uamuzi wake mwenyewe.
 
Imetulia WoS;

One page Mkuu.

Respect.
 
pia wanawake wengi wako tayari kufuata yale wanayoambiwa na marafiki wasichana wenzao kiasi kwamba bila kushauriwa nao hawezi kufanya uamuzi wake mwenyewe.

Mkuu unaweza kufafanua zaidi au kutudhihirishia?
 
Samahani wakubwa article hii iliwahi wekwa na mdau hapa hapa JF kama miaka miwili iliyopita ni research iliyofanywa ikizungumzia ni kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wanaweza "kucheat" kwa urahisi. Utafiti ulijiweka/ulijikita katika kiwango cha hormons za "Oestrogen" wanachokuwa nacho hawa wazuri, nimeona si vibaya kukumbushana ni kwa nini hawa wazuri hawaolewi.....enjoy

Women with high estrogen levels more likely to cheat.....
________________________________________

WASHINGTON (Reuters) – Women with high levels of estrogen not only look and feel prettier -- but they may act on those feelings by moving from man to man, U.S. researchers reported on Tuesday.

Estrogen, the so-called female hormone, affects fertility and has been shown to make women dress more provocatively and show more thrill-seeking behavior.

Dr. Kristina Durante of The University of Texas at Austin and colleagues found that young women felt more attractive when they had high levels of an estrogen known as estradiol, and they acted on those feelings.

"Women with higher estradiol reported a greater likelihood of flirting, kissing and having a serious affair with someone other than their primary partner and were marginally more likely to date another man," Durante's team wrote in the Royal Society Journal Biology Letters.

"Results provide support for the relationship between physical beauty and fertility and suggest that women high in reproductive health engage in opportunistic serial monogamy -- being open to affairs and moving on to a new relationship if a higher-quality mate becomes available."

Durante's team tested 52 female undergraduates aged 17 to 30 who were not taking hormone contraceptives. They took two estradiol samples from each, as hormone levels fluctuate from week to week.

They had the women rate their own attractiveness and showed their photographs to others to rate, as well.

"High-estradiol women were considered significantly more physically attractive by themselves and others," Durante and colleagues wrote.

The high-estrogen women also reported more sexual behavior -- especially outside of a relationship, although it was not linked to one-night stands.

"Our results are consistent with the possibility that highly fertile women are not easily satisfied by their long-term partners and are especially motivated to become acquainted with other, presumably more desirable, men," they concluded.

The findings fit in with many other studies showing that hormones influence the behavior and success of both men and women. Earlier this week, U.S. and British researchers showed that male financial traders whose finger lengths indicate high testosterone levels in the womb made more money.

....................kuwa mwangalifu maisha hayataki mzaha.............akikusumbua mmwage tu,we sio wa kwanza.. usije kufa mapema............
 
After going through several posts and replies in this thread, I came up with the following additional suggestions why Beautiful women are still single or not married:

1. Nice men are ugly.
2. Handsome men are not nice.
3. Handsome, nice men are married.
4. Men who are not so handsome, but are nice have no money
5. Men who are not so handsome, but are nice men with money think beautiful women are after their money.
6. Handsome men without money are after Beautiful Women money.
7. Handsome men, who are not so nice, don't think Beautiful Women are beautiful enough.
8. Men who think women are beautiful, somewhat nice and have money, are cowards.
9. Men who are somewhat handsome, somewhat nice and have some money are shy and never make the first move
10. Men who never make the first move, automatically lose interest in beautiful women when the women takes the initiative

So some parts of your suggestions shows that, beautiful Women are not married bcoz
1/ Nice men have no money
2/Money men are cowards and if not cowards, these men think these ladies are penny lovers

I come with this conclusions:
1/Never marry someone u never know clearly, if its a man or a woman
2/All ladies can be dangerous whether she's beautiful or not
3/Never get fooled by a woman's figure or man's money
4/Take time to know your lover.
 
Back
Top Bottom