Kwa nini wanawake wana juhudi kubwa na huwa wazingatiaji sana katika masuala dini na Mungu kuliko wanaume?

1.Kwa nini wanaume wengi ndio huwa atheists kuliko wanawake? Atheists wanawake ni wachache sana na hakuna walio maarafu duniani. Ni nadra sana kukuta atheists wanawake kwenye jamii hasa ya Africa. Hata hapa jukwaani wanawake atheists wanaweza wasizidi watatu lakini wanaume atheists wamejaa .

2. Kwa nini wanaume wengi hata kama bado wako kwenye dini wao ndio zaidi hutilia mashaka baadhi ya mambo katika dini zao na wanaongoza kuhoji sana kuliko wanawake?

3.Kwa nini wanawake wengi ndio huwa na juhudi kubwa ya kujishughulisha na mambo ya dini kuliko wanaume? Wao ndio huongoza kwenda nyumba za ibada kuliko wanaume, sio rahisi kukuta mwanamke anazembea kwenda ibadani tofauti na ilivyo kwa wanaume wengi.

Hii tofauti kubwa katika masuala ya dini kati ya hizi jinsia mbili imesababishwa na nini hasa?
Hawana lolote hao pamoja na hizo mbwembwe lakini wanaliwa kama kawaida tena huku wameshika vitabu wakijifanya wanaomba na matukio mengine ya kifirauni.Kuna mmoja alikuwa analiwa alfajiri na msela hapa jirani akiwa amemuaga mume anaenda ibada za asubuhi.Usindanganyike na mkeo kujifanya yupo bize na mambo ya ibada, watch out gangsters.
 
Back
Top Bottom