Kwa nini wanawake wakiwa wajawazito hubadilika tabia??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
kwa nini wanawake wengi wakiwa wajwazito hubadilika tabia

wengine huwa na hasira
hutema mate ovyo
wengine hta huamia kwa wazazi wao
wengine awatotaka kabisa kusiskia tendo la ndoa

sababu hasa nini nini??
 
Hiyo ni hali ambayo hutokea automatically kwa baadhi ya wajawazito na haiepukiki hivyo vumilia tu mzee
 
Mwili unapohisi kuna kitu tofauti au kigeni kimeingia kwenye mwili basi hutokea reactions.Mimba nayo huitikiwa kama "kitu kingine kigeni".
Matokeo ndio hayo..utadhani ni ugonjwa.Pia kuna vichocheo hutolewa kwa ajali ya kukua kwa mimba..navyo hupelekea reactions mbalimbali kama hizo za kichefuchefu n.k
Madaktari wataweza kukushauri zaidi.
 
Kunakuwa na vichocheo (hormones) fulani ambazo zingine kiwango kinaongezeka na zingine kinapungua ukilinganisha na kipindi hawana mimba. Hormones hizi zina uwezo wa kuaffect baadhi ya functioning za ubongo.

Nisichoelewa mpaka sasa ni kuwa baadhi ya wanaume nao wanakuwa na matatizo fulani ya kimwili, wake zao wakiwa na mimba...
 
kwa nini wanawake wengi wakiwa wajwazito hubadilika tabia
wengine huwa na hasira
hutema mate ovyo
wengine hta huamia kwa wazazi wao
wengine awatotaka kabisa kusiskia tendo la ndoa
sababu hasa nini nini??
Kwa sababu waliSEX bila ku2mia kinga.
 
Wengine huwa horny kila mda.... Hormones i guess.... (hii imekaa ki JF Doctor sijui majibu kama tutakupa ya kweli)
 
wwwwrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiggggggggggggghhhhhhhhhhhhhhttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
 
Back
Top Bottom