Kwa nini wanawake/wadada wengi wa kanda ya ziwa wana chale mwilini?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Swalaamaaa wana MMU

Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza kwa nini wanawake wengi na mabinti wa kanda ya ziwa wana chale mwilini!!?

Chale hizo zinaonekana hasa maeneo ya kifuani kwa juu karibu na shingo na nyingine mgongoni kwa juu

Mademu wengi niliowalomba na wale nisiowalomba huku kanda ya ziwa nimewakuta na chale

Demu unakuta ni mkali white ila ana chale kadhaa mwilini

Wale wenyeji wa kanda ya ziwa hasa wasukuma ebu tuambieni kwa nini wanawake wa kwenu wanakua na chale sana mwilini!?
 
Back
Top Bottom