Kwa nini wanawake wa siku hizi wanataka ndoa kinguvu

wanawake wengi wa kizazi hiki wamechakazwa sana tangu wadogo hivyo wanaona hawataolewa!!!
wanaamua kubambika kwa atakayethubutu yaan atafanya juu chini aolewe na huyo huyo!

we umechakaza wangapi mpaka hapo? alafu unataka new brand utaitoa wapi? wewe ukiona unamgonga demu alafu unaacha jua na mke mtarajiwa wako kuna jamaa anagonga vilevile kwa hiyo ngoma drooo......
 
Mwanamke anataka three S

Sex

Security (safety )

Service (Food, clothes, Luxury goods, Good Home, e.t.c)


Hivi vyote anavipata kwa Mume na yeye in return anato K tu baaasi. Wanaume kweli hatupati deal zuri in most cases.

Kwanini wasililie ndoa?

Nlitaka nshangaee!! Nlijua wamaanisha threesome!!hahaa
 
hivi mna maana gani ya kusema wamechakazwa kama makopo? unataka kusema tunajichakaza wenyewe madudu yenu si ndo yanahusika kuchakaza .............. we mpaka hapo umechakaza wangapi na ujaoa?
Punguza makali dada angu, najua ume'mind', hata mi najiulizaga kwanini ninyi wanawake mnadanganyika kirahisi sana? we unajua kabisa hapa hamna ndoa halafu unakipeleka everyday, if mngeshikilia bango ndoa kwanza mapenzi baadaye, yote yasingewakuta...
 
hii ni kalibu inchi nyingi
za kiafrika,hasa kusini mwa jangwa la sahara,unakuta mtu anajiapiza
lazima fulani anioe, wengie wanatumia mitishamba ili waolewe, mwanaume
ndiye mwenye nguvu ya kumtaka mwanamke amuoe,kinyume chake sababu
umelazimisha kuolewa, unashaanga hata mwezi haujapita watu
wameacha.

nishajisemeaga mie..mwanaume unichakaze miaka mi4 alafu ndoa hakuna..walah sangoma atahusika apo adi kieleweke..nakuweka kwenye chupa tu...evil to evil..si ndo mnachotaka mfanyiwe eeh?
 
Unapokuwa busy kuchakaza watt wa watu ts obvious ur wife nae anachakazwa vilevile na wengne,klichobak saiv ikija ndoa walau unaconsider nan kachakaa kdogo,..ndoa lazma ziuliziwe we unakaa na mtt wa watu 5 yrs af unasepa unategemea wenzake tunajifunza nin...
 
Hehe et unaona hapa ndoa hamna na unakipeleka kila siku...subr uendewe kw sangoma ndo uipate fresh,unavomfukuzia mtt wa watu af unamuomba game anakupa unatakajeee,si analinda penzi
 
hii ni kalibu inchi nyingi za kiafrika,hasa kusini mwa jangwa la sahara,unakuta mtu anajiapiza lazima fulani anioe, wengie wanatumia mitishamba ili waolewe, mwanaume ndiye mwenye nguvu ya kumtaka mwanamke amuoe,kinyume chake sababu umelazimisha kuolewa, unashaanga hata mwezi haujapita watu wameacha.
Hapo kwenye red umenifanya nicheke sana hadi basi. lol!! Kuna mitishamba ya kumfanya mtu aolewe? Maajabu ya dunia haya
 
Naona watu wamekuwa wakali... kwani mnalazimishwa kukipeleka? We kataa mpaka ndoa, hakuna atakaekuzingua. It's your choice, kipeleke tu... kama ukiwa na bahati utapewa permanent deal or ndio hivyo tena umepotezewa muda.
 
we umechakaza wangapi mpaka hapo? alafu unataka new brand utaitoa wapi? wewe ukiona unamgonga demu alafu unaacha jua na mke mtarajiwa wako kuna jamaa anagonga vilevile kwa hiyo ngoma drooo......

ninapokutongoza haimaanishi kwamba nitakuoa na mpenzi sio mke!
unajua chanzo cha kukuchakaza na kukuacha nini hasa???
wengi wenu mna tamaa mnapenda wengi kwann nisikuache!!!
 
Hehe et unaona hapa ndoa hamna na unakipeleka kila siku...subr uendewe kw sangoma ndo uipate fresh,unavomfukuzia mtt wa watu af unamuomba game anakupa unatakajeee,si analinda penzi

mimi nashangaa sana, hv tunapofanya mapenzi kila mtu si anaona utupu wa mwenzie na kila mtu anaplay part yake sasa kwanini useme kutoa game ndo kulinda penzi hapo sijakudhalilisha hata mimi umeniona basi umenidhalilisha pia hapo ngoma droo!!!
game hailindi penzi......
 
Punguza makali dada angu, najua ume'mind', hata mi najiulizaga kwanini ninyi wanawake mnadanganyika kirahisi sana? we unajua kabisa hapa hamna ndoa halafu unakipeleka everyday, if mngeshikilia bango ndoa kwanza mapenzi baadaye, yote yasingewakuta...

unajua hatupendi kufanya hivyo ila ninyi wanaume ndo mnakuja kwa gia za ndoa ukinuyimwa mnasema unataka hisia zako nimepeleke wapi sasa unategemea tufanyaje? okey basi na nyie msiwe mnaomba papuchi za wtoto wa watu............. ndo maana me naona wanaume wote duniani amjielewi mpo mpo tu ............ maneno matamu kibao kumbe mwisho wa siku unataka papuchi tu...,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom