Kwa nini wanawake wa siku hizi wanataka ndoa kinguvu

Mwagitho

Senior Member
Oct 11, 2013
111
38
hii ni kalibu inchi nyingi za kiafrika,hasa kusini mwa jangwa la sahara,unakuta mtu anajiapiza lazima fulani anioe, wengie wanatumia mitishamba ili waolewe, mwanaume ndiye mwenye nguvu ya kumtaka mwanamke amuoe,kinyume chake sababu umelazimisha kuolewa, unashaanga hata mwezi haujapita watu wameacha.
 
Mwanamke anataka three S

Sex

Security (safety )

Service (Food, clothes, Luxury goods, Good Home, e.t.c)


Hivi vyote anavipata kwa Mume na yeye in return anato K tu baaasi. Wanaume kweli hatupati deal zuri in most cases.

Kwanini wasililie ndoa?
 
wanawake wengi wa kizazi hiki wamechakazwa sana tangu wadogo hivyo wanaona hawataolewa!!!
wanaamua kubambika kwa atakayethubutu yaan atafanya juu chini aolewe na huyo huyo!
 
Mwanamke yeyote yule anaejiheshimu ndoa kwake ni kitu ambacho anakipendekeza sana...mwanamke yake stara mnataka mtafunue alafu mtuache?
Wamechoka kutumiwa that's why wanataka muafaka..
 
Ooh!Nimeipenda Hiyo Wadau,wamechakazwa Sasa Waachwe Nani Atapokea Makopo?Lazima Wang'ang'anie Kama Luba, No Marry No Life.Oyooooo!
 
Niliwahi kutest kutoa tangazo gazetin la kusaka mchumba...weeee yani cku gazet limetoka had kufika saa sita tyar nina wachumba zaid ya 260,ilinishangaza sn nikabaki najiuliza....wanataman kuolewa ili kuondoa nux,kwa sababu ya hali ngumu ya maisha au labda wako wengi sn kuliko wanaume bado cjapata jibu
 
mwanamke ndoa muhimu kunichakaza na dushelele lako kumbe mpita njia tu ya nini............... kama ueleweki kijamii eleweka kiuchumi? kulazimishwa muhimu sana
 
Ooh!Nimeipenda Hiyo Wadau,wamechakazwa Sasa Waachwe Nani Atapokea Makopo?Lazima Wang'ang'anie Kama Luba, No Marry No Life.Oyooooo!

hivi mna maana gani ya kusema wamechakazwa kama makopo? unataka kusema tunajichakaza wenyewe madudu yenu si ndo yanahusika kuchakaza .............. we mpaka hapo umechakaza wangapi na ujaoa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom