Kwa nini wanawake wa siku hizi wanataka ndoa kinguvu

ninapokutongoza haimaanishi kwamba nitakuoa na mpenzi sio mke!
unajua chanzo cha kukuchakaza na kukuacha nini hasa???
wengi wenu mna tamaa mnapenda wengi kwann nisikuache!!!

sababu yako haina nguvu.... kumbe unachakaza watoto wa watu ..... kama huna future nae ya nini kutongoza tutawaganda mpaka mkome .......... yani ningekuwa MUNGU ningetengeneza jinsia ya tatu alafu tuone sasa.......... duniani tupo jinsia mbili tu lakini mnavyotusakama utafikiria si tunajichakaza wenyewe.....
 
mimi nashangaa sana, hv tunapofanya mapenzi kila mtu si anaona utupu wa mwenzie na kila mtu anaplay part yake sasa kwanini useme kutoa game ndo kulinda penzi hapo sijakudhalilisha hata mimi umeniona basi umenidhalilisha pia hapo ngoma droo!!!
game hailindi penzi......

game kama chumvi kwenye chakula na haina maana kukosa chumvi chakula hakiliki .................. ila wanaume sijui mkoje........ jibu swali langu umechakaza wangapi mpaka sasa?
 
mi kamoja tu miss chagga tena kalitaka kenyewe, bado nalazmishwa kukawowa
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kutest kutoa tangazo gazetin la kusaka mchumba...weeee yani cku gazet limetoka had kufika saa sita tyar nina wachumba zaid ya 260,ilinishangaza sn nikabaki najiuliza....wanataman kuolewa ili kuondoa nux,kwa sababu ya hali ngumu ya maisha au labda wako wengi sn kuliko wanaume bado cjapata jibu

Wako wengi sana mkuu, wote wanahitaji stara. Imani ya kuoa mke zaidi ya mmoja, naiunga mkono!!!
 
Wanawake wenye sifa za kuolewa ni wachache sana, wengi wanataka kutoa nuksi.
 
Unapokuwa busy kuchakaza watt wa watu ts obvious ur wife nae anachakazwa vilevile na wengne,klichobak saiv ikija ndoa walau unaconsider nan kachakaa kdogo,..ndoa lazma ziuliziwe we unakaa na mtt wa watu 5 yrs af unasepa unategemea wenzake tunajifunza nin...

Hehe et unaona hapa ndoa hamna na unakipeleka kila siku...subr uendewe kw sangoma ndo uipate fresh,unavomfukuzia mtt wa watu af unamuomba game anakupa unatakajeee,si analinda penzi

Kama ununuzi wa hizi gari zetu "mpya" from japan vile, unasoma tu kilometer basi. Though kuna wanaochakachua hadi hizo kilometer zenyewe mradi shida tupu kwa haya maisha tuliyochagua.
 
wakisha mambo yako safi ndo wanalazimisha lkn kama hajakaa vizuri utackia ci bora niciolewe, wengine babu wa nin, yakikaa vizur hao hao wanakuja eti babyiii... nimekuwa bebi tena.
 
unajua hatupendi kufanya hivyo ila ninyi wanaume ndo mnakuja kwa gia za ndoa ukinuyimwa mnasema unataka hisia zako nimepeleke wapi sasa unategemea tufanyaje? okey basi na nyie msiwe mnaomba papuchi za wtoto wa watu............. ndo maana me naona wanaume wote duniani amjielewi mpo mpo tu ............ maneno matamu kibao kumbe mwisho wa siku unataka papuchi tu...,

Wewe ulitaka tutake nini kwenu kama sio P
 
unajua hatupendi kufanya hivyo ila ninyi wanaume ndo mnakuja kwa gia za ndoa ukinuyimwa mnasema unataka hisia zako nimepeleke wapi sasa unategemea tufanyaje? okey basi na nyie msiwe mnaomba papuchi za wtoto wa watu............. ndo maana me naona wanaume wote duniani amjielewi mpo mpo tu ............ maneno matamu kibao kumbe mwisho wa siku unataka papuchi tu...,
Lakini hata na nyie mnachangia sisi tuwafanyie hivo, hata na hivo mmezidi kututega sana, halafu wengine wana nyodo, unamsalimia msichana anakuangalia juu mpaka chini ndo aitike, na sisi tunapata hasira na nyinyi, mkijileta tunafanya yetu.. By the way ki ukweli kuhusu ndoa kwa sasa vijana wengi hatufikirii, hali ya maisha ngumu myself mpaka sasa 23 years, hata siwaz mambo ya ndoa kabisa yaani haipo akilini mwangu. kwa hiyo mimi akija girl lazima niharibu nisepe zangu, ntafanyaje sasa...?
 
na wewe ujue kuwa utakaye kuja kumuoa anafanywa kama we unavyofanyie wake watarajiwa wa wenzio
 
Back
Top Bottom