Kwa nini wanawake wa kimasai hawakati viuno wakati wa nanii...?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Siyo kwamba nahisi, nimeshuhudia mwenyewe baada ya kubahatisha marembo wawili wa kimasai. Mmoja nilimuuliza kwa nini ametulia wakati mwenzie napanda mlima aliniambia eti hajazoea. Mwingine nilipomuuliza alinieleza ukweli kwamba ndivyo walivyofundwa na wakubwa wao. Eti mwanamke wa kimasai hatakiwi kumkatia mauno mumewe. Akifanya hivyo mume anaweza akapeleka mashtaka hata kwa mshenga. Eti ni uhuni. Jamani, hii ina ukweli wowote?
 
Ndio,hiyo nimeisikia mara kadhaa!!Wao hawatakiwa kufanya chochote zaidi ya kumruhusu mdau afanye mambo yake!!!
 
hili linaukweli wamasai waume hudai kukatiwa viuno ni sawa na wao kufanywa wake watu.ILA HAWA WA MJINI HUPENDA SANA HAYO MAUNO
 
Mwaa mwaa mwaa mwaa hahahaha,.....duh hili jukwaa noma kweli
 
Wewe umeshaprakitisi na umeona na umeambiwa unataka nini tena?? Wewe umetoa ushuhuda mzuri tu huna swali hapa lakuuliza zaidi tukuulize wewe ulijisikiaje baada ya kutokatiwa mauno
 
siyo kwamba nahisi, nimeshuhudia mwenyewe baada ya kubahatisha marembo wawili wa kimasai. Mmoja nilimuuliza kwa nini ametulia wakati mwenzie napanda mlima aliniambia eti hajazoea. Mwingine nilipomuuliza alinieleza ukweli kwamba ndivyo walivyofundwa na wakubwa wao. Eti mwanamke wa kimasai hatakiwi kumkatia mauno mumewe. Akifanya hivyo mume anaweza akapeleka mashtaka hata kwa mshenga. Eti ni uhuni. Jamani, hii ina ukweli wowote?

mimi nawapenda wasiokata sana maana wengine huwa wezi tu
 
Siyo kwamba nahisi, nimeshuhudia mwenyewe baada ya kubahatisha marembo wawili wa kimasai. Mmoja nilimuuliza kwa nini ametulia wakati mwenzie napanda mlima aliniambia eti hajazoea. Mwingine nilipomuuliza alinieleza ukweli kwamba ndivyo walivyofundwa na wakubwa wao. Eti mwanamke wa kimasai hatakiwi kumkatia mauno mumewe. Akifanya hivyo mume anaweza akapeleka mashtaka hata kwa mshenga. Eti ni uhuni. Jamani, hii ina ukweli wowote?

Umenikumbusha mbali ssana.
 
Wewe umeshaprakitisi na umeona na umeambiwa unataka nini tena?? Wewe umetoa ushuhuda mzuri tu huna swali hapa lakuuliza zaidi tukuulize wewe ulijisikiaje baada ya kutokatiwa mauno

Dumelambegu awe straight tu kwamba alitaka kutufahamisha kuwa ametembea na warembo wa kimasai, full stop!
 
Ilitokea kesi moja hospitali sitasahau. Mama alikuja na mme wake baada ya ultrasound wakapewa majibu kuwa mimba iko nje ya kizazi. Mume alikuja juu vibaya sana nilishangaa kampa bibie kibao whaaa mimi kwisa ambia wewe mama yoyoo tulia,we hapana tulia sasa ona nasababisha mimba nakaa inje! Jamaa akatoka!
 
another jokes! teh! teh! teh!
 
Mkuu.
Hii story yako ungeipaka make-up ingetulia sana kule jukwaa la jokes.
 
Ilitokea kesi moja hospitali sitasahau. Mama alikuja na mme wake baada ya ultrasound wakapewa majibu kuwa mimba iko nje ya kizazi. Mume alikuja juu vibaya sana nilishangaa kampa bibie kibao whaaa mimi kwisa ambia wewe mama yoyoo tulia,we hapana tulia sasa ona nasababisha mimba nakaa inje! Jamaa akatoka!

ha ha ha ha ha! Uwiiii....
 
Dume la mbegu,
Ulijaribu ukaona
Ukauliza kwa wahusika wakakujibu
Sasa ukweli unaoutaka ni upi au utoke kwa nani zaidi ya mhusika?
Kama huwezi kuwaamini wahusika wenyewe basi amini hakuna
utakapopata jibu sahihi labda kama tu ulitaka kuwajuza wengine
kuhusu hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom