Kwani unadhani niwoye lazima waongezwe njia na kushonwa??wewe ungeuliza uelezwe maji ni ya kukanda mgongo kiuno na tumbo mashine haiguswi na maji moto hata kidogo , km mkeo kaoshewa maji moto mrudishe akashonwe upya kwani nyuzi zote zitakuwa zimeachia mashine itakuwa kubwa balaa
we naye kwa mada za nanihii!.....hivi we huwa unafikiria nini hasa? kwanzan umewowa? ukijibu hilo nitakujibu..Hivi mkijifungua kwanini mkandwe??maji chini??simuache tu!!mnywe antibiotics basi.
Asiyeongezwa njia atakuwa kajaliwa atoe hata fedha kwa dr ili aipunguze upana kwa kuishona vinginevyo atakuwa kila anakimbiwa au akumbane na mwenye mguu wa mtoto ndiyo watawezanaKwani unadhani niwoye lazima waongezwe njia na kushonwa??
Asiyeongezwa njia atakuwa kajaliwa atoe hata fedha kwa dr ili aipunguze upana kwa kuishona vinginevyo atakuwa kila anakimbiwa au akumbane na mwenye mguu wa mtoto ndiyo watawezana
Hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza!!!!!!!!!!!!!Kuwa uyaone mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:bump:
Hivi mkijifungua kwanini mkandwe??maji chini??simuache tu!!mnywe antibiotics basi.
we naye kwa mada za nanihii!.....hivi we huwa unafikiria nini hasa? kwanzan umewowa? ukijibu hilo nitakujibu..
du! pole sana! utajua tuu labda uwe sister, kukandwa kunasaidia kutoa uchafu wote unaobaki ndani ya mwili baada ya kujifungua usipofanya hivyo uchafu utakusumbua ati, mi nimemkanda sana mke wangu so i know!