Kwa nini wanawake mkijifungua mnafanya hivi?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi mkijifungua kwanini mkandwe??maji chini??simuache tu!!

mnywe antibiotics basi.
 
wanasema inasaidia kupunguza ukubwa wa nonino.... wasipokanda itakuwa andaki mkuu
 
wewe ungeuliza uelezwe maji ni ya kukanda mgongo kiuno na tumbo mashine haiguswi na maji moto hata kidogo , km mkeo kaoshewa maji moto mrudishe akashonwe upya kwani nyuzi zote zitakuwa zimeachia mashine itakuwa kubwa balaa
 
inaonekana wengi wenu hamjaoa! mkioa mtajua kwa nini ati mke apaswa akandwe akijijfungua.
 
nadhani ni mazoezi tu yanatakiwa...hio ya kukandwa haisadii chochote...
sijazaa so sijui!:teeth:
 
du! pole sana! utajua tuu labda uwe sister, kukandwa kunasaidia kutoa uchafu wote unaobaki ndani ya mwili baada ya kujifungua usipofanya hivyo uchafu utakusumbua ati, mi nimemkanda sana mke wangu so i know!
 
wewe ungeuliza uelezwe maji ni ya kukanda mgongo kiuno na tumbo mashine haiguswi na maji moto hata kidogo , km mkeo kaoshewa maji moto mrudishe akashonwe upya kwani nyuzi zote zitakuwa zimeachia mashine itakuwa kubwa balaa
Kwani unadhani niwoye lazima waongezwe njia na kushonwa??
 
Hakika usilolijua ni sawa na usiku wa giza!!!!!!!!!!!!!Kuwa uyaone mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:bump:
 
Kwani unadhani niwoye lazima waongezwe njia na kushonwa??
Asiyeongezwa njia atakuwa kajaliwa atoe hata fedha kwa dr ili aipunguze upana kwa kuishona vinginevyo atakuwa kila anakimbiwa au akumbane na mwenye mguu wa mtoto ndiyo watawezana
 
Asiyeongezwa njia atakuwa kajaliwa atoe hata fedha kwa dr ili aipunguze upana kwa kuishona vinginevyo atakuwa kila anakimbiwa au akumbane na mwenye mguu wa mtoto ndiyo watawezana

nahisi ni theory tu za kubuni zinazoongelewa huko mitaani,hazina chembe ya ukweli...
 
Munafanya mchezo na kuzaa jamani? Hebu fanyeni jokes na vitu vyengine pale ni roho mkononi.

Heshima wekeni kwa mama zenu na wake zenu wanaowaletea watoto na nyinyi mukafurahia.
 
Hivi mkijifungua kwanini mkandwe??maji chini??simuache tu!!mnywe antibiotics basi.

MAMBO mengne hayaitaj ujuaji
umezaliwa umekuwa mzima mshukuru mungu
usiangali enyuma na kuanza kunyosha kidole mbona ivi mbona vile....apana
mambo ingne karibu karibu na laana ivi
 
maji moto kwa nyakati zile ni za kukanda mgongo, tumbo na mgongo tu kwa bibi hapana kabisa. na injasaidia kumaliza uchafu na kujisikia vizuri
 
umesema kweli kiongozi, hiyo kazi tumeifanya sana kwa wale wenye wake na wakajaliwa watoto, kwa ambao hawajaoa hawatakuelewa kabisa mkuu.
du! pole sana! utajua tuu labda uwe sister, kukandwa kunasaidia kutoa uchafu wote unaobaki ndani ya mwili baada ya kujifungua usipofanya hivyo uchafu utakusumbua ati, mi nimemkanda sana mke wangu so i know!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom