kwa nini wanawake hupendelea kuvaa bikini zaidi

Zamani ilibidi kufunua chupi ili uone makalio ila siku hizi inabidi ufunue makalio ndo uione chupi tehe tehe teh!!
 
[COLOR=red said:
katelero[/COLOR];985487]nikiomba mechi ya kirafiki utakubali
Kijiji cha Katelero ni maarufu kwa mechi za kirafiki hasa kwa mtindo wa katelero
 
Jina la mtu mala nyingi kama sio zote, urandana na tabia yake, jitahidi kupiga katelero kwa kwenda mbele, vunja mifupa wakati meno ipo, utakuja juta ukisha poteza muda virunga wawa virunga wawawa wawa
 
hahahahah una akili sana wewe,
 
ndo nini hiyo mkuu,
trikini%2Bblanco.jpg
55985M.jpg
trikini-47945.jpg

Hizo ndio Trikini Mkuu
 
mmh mi kwangu lile lichupi likuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa ndo lenyewe yan nafanya kuogelea umo umo dzaini nikimpa mtoto wa kiume anaweza fanya kaptula ya shule ndo inaninogeaaaaaaaa!!!!!1
hewa kibaooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!
 
tupe experience yako kulinganisha na chupi za kawaida,maanake wengine wamesema hawapendi ZINAWAPEKECHA maeneo fulani........
unapata hewa ukivaa suruali au nguo ya kushika mistari ya chupi haionekani, u look sexy, na mengine ctayataja, binafsi nimeizoea
 
halafu Hao zinao wapekecha sio za cotton ukipata 100% cotton na size yako wala haipekechi inakaa vzr tu
 
unapata hewa ukivaa suruali au nguo ya kushika mistari ya chupi haionekani, u look sexy, na mengine ctayataja, binafsi nimeizoea

Unaipataje hiyo hewa? Mimi najua hewa tunapitishia puani au mdomoni kama pua ikizibwa na mafua! Au unaongelea kutoa h..a!!!!!
 
kama ni mwanamke utajua namaanisha nini nikisema unapta hewa huku kwa bibi.
 
Back
Top Bottom