kwa nini wanawake hupendelea kuvaa bikini zaidi

anazosema mtoa mada nadhani sio hizi, hii pana bwana tena ya kawaida kabisa, zile nyingine ni vikamba tu
 
siku hizi wanawake wengi hupenda kuavaa bikini sana ni kwa nini au zanamvuto kwa wanaume?

Dah mm nikiona tu kile kikamba kama ndo msichana kavaa suruali kainama si unajua kinavutika juu dah basi mawasiliano ndani ya ubongo wangu hupotea kabisa. Alafu wapo wengine hawapendi kabisa kuvaa kufuri nafikiri sababu nikuacha maeneo husika yawe yanapumua maana joto la huko ndani si mchezo balaa. Linatengeneza uvundo kama mvivu wa kuosha bikini inafaa kwake mazingira yanakuwa yanapigwa na upeop wa kusi kasikazini.
 
weekend moja tulikuwa tunapata kilaji kwenye clab yetu ya wafanyakazi, hapo tulikuwa mchanganyiko including BOSS wetu, huwa ni mtu wa kitia story sana, akaanzisha stiry hizi za bikini akasema "zamani wakati wanakuwa ukimfunua m'ke unakutana na chupi but now days ukimfunua m'ke unakutana na makalio, hadi uyafunue makalio ndo uione chupi" and that is true.
 
wherever this thread is heading....... I think this might not be the right Forum!!

Mods naomba mtusaidie kuiweka kwenye jukwaa husika. thx
 
hakuna cha hewa wala nini ni utandawazi tu....kwani zamani kulikua hakuna watu sexy???? Siku hizi ndugu zangu kila kitu kimebadilika....zamani ilikua ngumu kununua wali s'market so hizi zote ni changes so hata kwa wanawake ni changes tuu...Zamani ilikua unafunua chupi ili uone kalio ila siku hizi unafunua kalio ili uone chupi???? mambo ya maendeleo haya jamani.........
 
sipendelei kabisa kuivaa, kwanza naona inanipekecha mda wote, mpaka kuja kuivua maeneo fulani yanakuwa yanawasha

naprefer panties za kawaida tu ila bukta hahahaha

Jaribu kuangalia size unayonunua mpendwa.It should be one size less of your clothes.Namaanisha kama nguo unavaa size 14, tong/g-string chukua size 12. Kuna za cotton,material nzuri sana,comfortable na haziumizi hata kidogo.Binafsi najisikia kama si tabia nzuri mistari ya chupi kuonekana kwenye suruali,hasa kama umejaaliwa.
 
duh kwa kweli me mwenyew nlishashinda cjickii kuwa confortabe na kale kamkanda kipita pale katikati,may be mara mojamoja sn.
ila nafikiri sio kwa ajili ya kuvutia sn,kinachovutia ni wewe mwenyewe na sio bikini.
 
Mimi ndo siwezi kuvaa aina nyingine ya chupi zaidi ya Thong

tupe experience yako kulinganisha na chupi za kawaida,maanake wengine wamesema hawapendi ZINAWAPEKECHA maeneo fulani........
 
Back
Top Bottom