Kwa nini Wanawake Hampendani ? case study Jackline Mengi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,525
habari wadau..

kwa seke seke la msiba wa mengi.. nimeamini ule msemo adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.

mitandaoni ni drama tupu.. zikianzia kwa dada Mange wa majuu.. na hizi drama wanawake wengi ndio wanasapoti kumyima raha mjane..

wengine nao wanapinga sio mjane halali.. sababu Mzee mengi ameshafunga ndoa kanisani mara ya kwanza.. ukichunguza watoa hoja hizo ni wanawake tupu.. huwezi kuta mwanaume anapinga k lyn sio mke halali..

je sababu ni nini wanawake kumponda sana k lyn ?

wengine wanaponda kanisa la KKKT kumzika Mengi

ukweli hizi dini tumeletewa na waliotuletea hawana hata time nazo.. lutheran chimbuko lake ni usa.. kina martin luther,,, ila huko usa wanafunga ndoa hata mara 10..

harusi kubwa ya meghan na prince charles ilifungwa kanisani uingereza.. na hapo hapo mergan alishaolewa kanisani na mume wa kwanza na akaachika.. na kanisa la uk likafungisha ndoa nyingine bila kelele na mpaka leo ni meghan ni mke halali wa prince,, hata prince akifa,, mjane halali ni meghan

trump mwenyewe ameshaoa zaidi ya mara 3 na zote kanisani

kinachonishangaza watu wanaopinga ndoa ya Mengi ni wanawake tupu.. fuatilia uzi zote unakuta wanawake ndio wanapinga Jack kuwa mke halali wa Mengi.. kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake
 
Mbona hata baadhi ya wanaume walikuwa wanachonga sana juu yake.


Anyway wanaoponda hawana lolote wivu tu unawasumbua labda walitaka waolewe wao.
 
ndio mama zetu, shangazi zetu, dada zetu na ni wake zetu.......mwanamke ni yule yule.....awe na elimu au kapuku.. the same...azaliwe usa au nanjilinji..same.....tuwapende tuu na tuwasemahe tuu...
 
Back
Top Bottom