Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,366
mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26.kuna swali huwa nina jiuliza sana ila nakosa jibu.nilipokua boarding ya wavulana niliona vijana wengi wakilala wanaweka mkono ndani ya boxer,na hata nilipokua chuo niliona tena jambo hili,na nadhani inakuja automatically tu,na mimi ni mhanga wa hiyo tabia,yani ukiamka najikuta mkono uko ndani ya boxer,hii inasababishwa na nini??is it involuntary action to some other guys??