kwa nini wanaume wengi wanalala huku mkono mmoja ndani ya boxer??

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
3,366
mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26.kuna swali huwa nina jiuliza sana ila nakosa jibu.nilipokua boarding ya wavulana niliona vijana wengi wakilala wanaweka mkono ndani ya boxer,na hata nilipokua chuo niliona tena jambo hili,na nadhani inakuja automatically tu,na mimi ni mhanga wa hiyo tabia,yani ukiamka najikuta mkono uko ndani ya boxer,hii inasababishwa na nini??is it involuntary action to some other guys??
 
na sie tusiokuwa tunalala na boxer inakuwaje? itakuwa majamaa wanalinda modushelele yao isiibiwe maana watu wana jealoisy wakiona una kitu kikubwa
 
na sie tusiokuwa tunalala na boxer inakuwaje? itakuwa majamaa wanalinda modushelele yao isiibiwe maana watu wana jealoisy wakiona una kitu kikubwa

Wewe huwa unaweka mkono wako wapi ukilala??
 
mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26.kuna swali huwa nina jiuliza sana ila nakosa jibu.nilipokua boarding ya wavulana niliona vijana wengi wakilala wanaweka mkono ndani ya boxer,na hata nilipokua chuo niliona tena jambo hili,na nadhani inakuja automatically tu,na mimi ni mhanga wa hiyo tabia,yani ukiamka najikuta mkono uko ndani ya boxer,hii inasababishwa na nini??is it involuntary action to some other guys??
Wanaogopa mke Mkali akiikata akikimbia nayo
 
mazoea na kujiendekeza!
mimi sikufurahishwa na hiyo tabia nilijitahidi kuto-kuizoea toka nikiwa sekondari nikaweza
 
Kuna maswali hayana namna rahisi ya kupata majibu...
Wapo watu ambao hulala wananyonya vidole, wengine lazima aangalie juu n.k.
Kushika maungo ya kiume binafsi nilikua nikitafsiri ni namna ya kujikinga na baridi kwani ni namna pekee ya kuhifadhi viganja kwenye jotoridi maridhawa endapo tu mtu aatajikunyata.
 
mazoea na kujiendekeza!
mimi sikufurahishwa na hiyo tabia nilijitahidi kuto-kuizoea toka nikiwa sekondari nikaweza

nilikua nikitaka kujua hasa hii inatokana na kitu gani??yani its automatic ukiamka unakuta umeshika pipe,,,
 
Titans, mbona umewasahau wanamziki wa ubongo fleva? wanamziki hawa wa kisasa wao wanaimba wakirukaruka na wakiwa wameshika 'mike' huku mkono mwingine umeshika kunako dushelele, sijui ni kwa nini?
mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26.kuna swali huwa nina jiuliza sana ila nakosa jibu.nilipokua boarding ya wavulana niliona vijana wengi wakilala wanaweka mkono ndani ya boxer,na hata nilipokua chuo niliona tena jambo hili,na nadhani inakuja automatically tu,na mimi ni mhanga wa hiyo tabia,yani ukiamka najikuta mkono uko ndani ya boxer,hii inasababishwa na nini??is it involuntary action to some other guys??
 
Kwanza inaonyesha kwamba wewe ni mwafrika halisi.
Pili ni nia ya kumtuliza Bwana Juma aache hasira, kwa sababu hasira hasara na hakuna wa
kuipunguza!
 
ile kitu huwa hivi according to my knowledge sijawai fundishwa niliwazaga tu mwenyewe, kwanza kabisa that's a reflex action it is performed without a conscious thought, watu wengi hupeleka mikono mule mishale ya alfajiri hivi hakuna anaelalaga mikono kaweka kule ukiona mtu saa nne za usiku kalala mikono ipo mule ujue he was either horny au alikuwa anapiga puli, u know kukiwa kunakucha lazima mwanaume rijali uamke umedindisha, sasa ile hali the brain becomes aware of it hata kabla hujafungua macho, sasa mikono huwa inafanya kama vile kuizuia hivi isionekane bcoz tumelelewa tukijua ile kitu haipaswi kusimama ikaonekana. Mchana ukiwa conscious ukadindisha lazima ufiche isionekane unless kama upo na manzi ako au sex partner labda mwataka michana hivi au romance ndo ye mwenyewe anaweza iona lkn nje nje utajitahidi kuificha isionekane si ndio? now the same applies to asubuhi, except ya asubuhi huwa inazibwa without an individual being aware of it, swaiba ubongo kiungo cha ajabu sana hakuna mfano hufanya kazi 24/7 mchana usiku, kwa mtu alive ubongo husimama kufanya kazi when one meditates only.
Correct me if am wrong.
 
Wanaofanya hivyo si wanaume bali watoto. Mbona mimi sifanyi hivyo wala sikufanya hivyo hata nilipokuwa nasoma hizo shule zako? Tafuta gea nyingine mwanangu.
 
Titans hiyo avatar yako!!mi nikadhani ulitembelea tu kwenye bweni la wavulana!!
 
Last edited by a moderator:
Mlalaji chunga mzigo wako!!! unamkumbuka Lorena Bobbit!? Huyu bi dada baada ya kasheshe za hapa na pale na mumewe akaona dudu ndiyo inampa kichwa mumewe basi akasubiri amelala akaingia na bisu lake kubwa na akaikata karibu yote. Njemba ingekuwa imeweka mkono kwenye dudu lazima ingestuka kabla mkewe hajaanza ukatili wake wa kukata dudu yote ya mumewe kisha kwenda kuitupa.
 
Lol. I thought ni tabia mbaya tu mtu anajifunza utotoni. College room mate wangu mdada, alikuwa anaweka mikono sana ndani ya suruali. Kumbe anachezea nywele manake amefuga haswaa. Kinyaa!
 
Back
Top Bottom