Kwa nini wanaume wengi hushindwa vitandani siku hizi??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,589
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,589 2,000
Haijalishi wewe maarufu namna gani linapokuja suala la kitandani huwezi kujua hadi uwe hapo Tunapozungumzia mwanaume kushindwa kitandani (impotency) tuna maana kwamba ni mwanaume kutokuwa na uwezo kusisimamisha uume ili kuweza kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi unaotakiwa, au kuwahi kukojoa (immature ejaculation) ua mwanaume kusimamisha uume kwa muda mrefu zaidi ya saa moja na kushindwa kurudi kwenye hali yake ya kawaida.

Kama mwanaume anaweza kumaliza tendo zima la ndoa kwa muda wa dakika 5 au chini ya dakika 10 na kuwa hana uwezo wa kuendelea tena basi hiyo ni dalili kwamba something is wrong.
Data zinaonesha asilimia 10 ya wanaume mahali popote wana tatizo hili, kwa mfano nchini Marekani inakisiwa kwamba wanaume milioni 30 wanakumbana na tatizo hili na ulimwenguni kuna wanaume zaidi ya milioni 150 wana tatizo hili na pia kila mwanaume anaweza kukutana na tatizo hili angalau mara moja katika maisha yake.

Nini husababisha?
Ili uume uweze kusimama lazima damu iende kwa wingi huko na kusababisha kuwa mgumu na kusismama na kuwa tayari kwa huduma.

Sababu kubwa ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume wakati wa tendo la ndoa mara nyingi huwa ni mawazo (anxiety)
Pia Inawezekana ni dalili ya ugonjwa mwingine kama Diabetes.
Mwanaume anaweza kuwa na hofu kwamba hawezi vizuri sex na hii hupelekea kutojiamini na hatimaye uume kushindwa kabisa kusimama.
Pia Inawezekana ndoa ina matatizo na kupelekea kichwa kuwa na limzigo la mawazo na hatimaye kushindwa kabisa kusababisha utendaji wa kazi huko south pole.

Inawezakana mwanaume amefiwa na mtu wa karibu aliyekuwa anampenda.
Kuchoka
Pia stress
Kuwa na hatia ya kitu chochote.
Inawezekana mwanamke aliye naye havutiii kabisa
Kufilisika biashara au kufukuzwa kazi hupelekea kuwa na mawazo.
Kupungukiwa homoni zinazowezesha uume kusimama hasa umri ukienda sana.
Matatizo ya mirija ya damu kushindwa kusafirisha damu kwenda sehemu zote za mwili, hii uweza kusababishwa na magonjwa kama BP na arteriosclerosis.
Kuvuta sigara
Magonjwa ya nerves
Kufanyiwa upasuaji hasa ule wa prostate

Wanaume ambao huonekana labda ni maarufu sana katika fani zingine bado likija suala la kitandani ni kitu kingine hivyo mwanamke anatakiwa kujua kwamba lazima atoe ushirikiano wa kutosha kwani mwanaume anahitaji kutiwa moyo na mwanamke aliyenaye kwani Inawezekana ni mawazo kichwani mwake ndo hupelekea kushindwa.

Je, unaweza vipi kuepuka hili tatizo?
Hakuna kitu kinachoshushia mwanaume hadhi mbele ya mwanamke kama hili tatizo hivyo basi mwanaume akiona hili tatizo linajitokeza mara kwa mara kwanza ajiamini na kuangalia linaweza kuwa nini kimesababisha kama ni msongo wa mawazo inahitaji kwenda kwa washauri (counselling) na kama ni suala la kimatibabu awaone madaktari.​
 

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,839
Points
1,500

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,839 1,500
Self esteem and insecurity . WANAUME WENGI WA KITANZANIA WAKO VERY CONSERVATIVE CHUMBANI . MWANAUME WA KITANZANIA HAJUI HATA KUMFANYA MWANAMKE WAKE ASQUART (SQUART) YAANI KAZI KWELIKWELI . MWANAUME HIYO FORE PLAY YENYEWE KAZI ANAKURUKIA TU . NDIO MAANA MNACHITIWA NA WAZUNGU SASA MJITAHIDI . HALAFU MNAPENDA KULALA NA NGUO NA MKIFANYA MAPENZI MNAJIFUNIKA NUSU UCHI LOL. HAKUNA SEX TOY WALA NINI . HAKUNA ROMANTIC VACATION UKISHAOLEWA NDIO IMETOKA HIYO .
 

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,589
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,589 2,000
<br />
<br />
pddy i did my bachelor at muhimbili then nko uk nabase kwenye saicology so hayo mambo ya kupanic akati wa tendo la ndoa ni stress zinawasumbua mh u dr wa kikwe ha ha cna
mwaya ukirudi uwapigie vizuri waliobaki kama kunaingilika ama lah yaani naomba kimoja ukiduri usiniache kwenye kale ka ngo katarajiwa nimesoma civil eng/bba general /ila nina kaexp cha sociology kidogo toka kwa mke wangu sehemu ya kuanzia naweza kukupatia baada ya miezi mitano tukianza pata funds tutafute ofisi kikweliiii
 

LD

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
3,016
Points
1,195

LD

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
3,016 1,195
Duh, wanaume punguzeni bia na kitimoto basi, kuleni mchunga na mchicha pori.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,551
Points
2,000

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,551 2,000
Mkuu hilo jibu tu linaonesha kwamba statement zako si za kweli kabisa,pili mama diddy kakwambia ufanisi hauna ndo maana mda mwingi unafatilia hii kitu ya kumfikisha mwanamke kileleni au jinsi ya kutatua tatizo la upungufu wa kiume,tatu majibu yangu yapi hayo yanakupa wewe "A",mimi nimekuuliza sijakujibu pale lol kwa kukufahamisha mimi nafanya sana kergel exercise now ni mwaka wa 4 huu,nikimpandia mama bob nahakikisha anafika kileleni kwenye milima yote hata milima minne ndo na mimi nakuja lol

nasomea masters ya haya mambo libya tripoli samahani kama nakugusa siitaji kudesa vitabu majibu yako unanisaidia kupata "a"
 

Forum statistics

Threads 1,358,240
Members 519,261
Posts 33,163,018
Top