Kwa nini wanaume watu wazima wanapenda wasichana wa shule na vyuo?

Hawa wenye uwezo wa kuwazaa hawa mabinti 45 n above

udhalilishaji/tamaa zinawasumbua, hivi mabab wa 45+ hujickii aibu kuvua nguo mbele ya binti wa 17yrs? watu wamechunwa ngozi za usokweli, haibu wameziacha msalani.
 
Na wanaitanaje? Honey, sweetie, mpenzi ama baba ama babu?
 
sasa hapo aibu ikuwapi?je ingekuwa huyo babu wa 45yrs anataka kumwoa huyo binti wa 17yrs, hiyo aibu ingetoweka?!tuweni wakweli jamani
 
Ukiwa umeumbwa na haya utaona aibu lakini kama huna haya huna aibu
 
mbona ndoa ya mwanaume wa 50yrs na binti wa 18yrs, huwa hamjiulizi kuwa huyo mwanaume haoni aibu ya kumvulia nguo huyo mtoto! sana sana mtasema ndoa haina umri!!!sasa hapo inakuwaje???
 
Hoa wazee ndio wenye hela na ndio wenye kuahidi nafasi za ajira kwa kuwa wengi pia wameshikilia/wameng'ang'ania nafasi fulani fulani kwenye makampuni, mashirika, na serikalini...! Hii ni tamaa tu, na wala si vinginevyo...! Usishangae kijana unafunga harusi na GF wa baba...!
 
Umekaa sebuleni na mkeo mara anaingia binti yako yuko f6 pale majengo anakuja eeeeeeeeeeeeeee dad meet my boyfriend manga'nya bla bla bla..............ukiangalia ni jamaa alikuacha ndo unaanza darasa la kwanza hana hata nyele moja kichwani...........na wewe utacheka kama zuzu!
 
Kwa kweli inatisha sana ila ndiyo hali halisi iliyopo. Baba wengi wa familia wanafanya mchezo huu mchafu ilihali nao wana mabinti. Ila tu nataka kusema kwamba kila unachomfanyia mtoto wa mzazi mwenzako na wako atafanyiwa hivyo hivyo. Kwa mantiki hiyo ukisikia kuwa binti yako anafanya zinaa na sugar daddy huna haja ya kumbebea bastola wakati na wewe unafanya hivyo kwa wengine. "Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu". Hii ni laana mbaya itokanayo na dhambi unayoifanyia ndani ya mwili wako mwenyewe tena nje ya ndoa yako au hata kwa mchumba au girlfriend wako wa kudumu. Tubadilike.
 
Hoa wazee ndio wenye hela na ndio wenye kuahidi nafasi za ajira kwa kuwa wengi pia wameshikilia/wameng'ang'ania nafasi fulani fulani kwenye makampuni, mashirika, na serikalini...! Hii ni tamaa tu, na wala si vinginevyo...! Usishangae kijana unafunga harusi na GF wa baba...!

Hivi utasemaje mwanao kaja na huo mzigo? Tena bahati mbaya wakati huyo mwanao akiwa yuko chuoni valangati lilitimka kuhusu huyo binti na mkeo anamjua fika kuwa alikuwa mwaribifu wa ndo yenu?
 
On behalf ya Nyamayao,,,, angemfunglia mashtaka ya kumharibu mwanaye mwenye miaka 18!
 
sasa hapo aibu ikuwapi?je ingekuwa huyo babu wa 45yrs anataka kumwoa huyo binti wa 17yrs, hiyo aibu ingetoweka?!tuweni wakweli jamani

45 bado hajaitwa babu, ingawa bado hastahili ki date na binti wa 17yrs, babu ni kuanzia 50+....mie mr wangu hajafikisha 35 lakini nikimkuta na binti wa 17yrs cjui nitamfanya nini kwa kweli, yaani cjajua, adhabu nitakayompa itatofautiana sana na nikimkuta na binti wa 22+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom