Kwa nini wanaume watu wazima wanapenda wasichana wa shule na vyuo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanaume watu wazima wanapenda wasichana wa shule na vyuo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eeka Mangi, Sep 23, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna kautafiti nimefanya kwa kipindi cha takribani miezi 2 hivi. Nilisikia jinsi baadhi ya rafiki zangu wakizungumzia kuhusu wasichana wa chuo fulani na shule fulani. Nikataka kujua je ya kweli?
  Nilienda pale Masoka chuoni, hayo magari yaliyokuwa yanapishana pale nilishangaa. Nikamuuliza kijana mmoja akanambia ni kawaida wasichana kuchukuliwa pale ijumaa na huwa wanarudishwa jumapili jioni.
  Nikahamishia kambi pake KCMC mambo ni yale yale, tena hawa sio weekend tu ni kila wakati na kwa bahati mbaya baadhi ya magari ni yale yale.
  Nikarudi Ushirika, wenyewe wanaita MuccoBs. Mambo ni balaa, wasichana ndo wehu kabisa tena wanahamasisha. We pita na mkweche mpigie break binti anazama mchumani bila wasiwasi. Nikamalizia pale hostel za mtaani za Majengo Sec, du hawa wanachukuliwa gari inaenda mbele kidogo anamalizana na mtu wake huyooooooooo anarudi zake hostel.
  Katika kote huku nimegundua ni watu wenye umri mkubwa ndo wanafanya vituko hivi na hawa watoto wetu. Sisemi kuwa hakuna vijana ila idadi kubwa ni watu wenyekuweza kuwaita hawa mabinti watoto kama sio wajukuu. Nilmsikia binti mmoja wa pale majengo akisema aaaaaaaaaaah nimekamata mic nikaanza kushusha mistari mara kaachia akanipa mshiko wangu nikarudi zangu.
  Je huwa tunafata nini wazeee?:confused2:
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi msichana aliye chuo ni mtoto au mtu mzima!??????:confused2:
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ni mabinti wanafata mkwanja kwa 'wazee'...
   
 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We utawaitaje? Watoto hawa wanamaliza kidato cha 6 wakiwa na 17 to 18 na wengine hawakumaliza F6 ni F4. Kwa kutembelewa na vijana wenzao sina swali! Hivi vibabu vilivyoacha wake zao nyumbani hivi ndo nasemea!
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hao kupenda hela ni asili yao nafikiri wa kulekule mlimani:eyebrows:
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  I wonder kwa nini watu wanapenda kula bamia changa......
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa we Eeka Mangi huelewi nini hapo!kwani huoni kabisa tofauti ya mwanamke wa age ya 50yrs na yule wa 18 yrs ni ipi?jamani hebu tusidanganyane,hivi vitoto vina taste yake bana............!
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  wanaume watu wazima wanaanzia age gani?
   
 9. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaaaaaaa hata mi cjui bwana! Wenye uzoefu watujuze
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mzunguko wa maisha na kupenda vitu rahisi rahisi halafu ukiwa na gari tu dah kwishnei
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Test? Test gani kaka. Kama unaye binti yako visualize vile huyo mzee na upara wake unapata picha gani?
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  so ur supporting kwamba ni sawa hiki kitendo kufanyaka, mbaba wa 50 ku date na binti wa 18 coz vina taste?....ghosh!
   
 13. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Uzuri wa wazee ni huu hapa: wanakata pochi kwa wingi (kama hawana akili nzuri) halafu katika kale ka mchezo hawafiki mbali kwisha habari yao.
  Ubaya wa vijana: ha wakati pochi bali longo longo kwa kwenda mbele na katika kale ka mchezo wanaweza kumtoa binti roho. Wanasimamia ka baiskeli.
  Kutokana na hiyo mabinti wengi wanapendelea wazee kuliko vijana. Utafiti wangu wa miaka kadhaa
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  haaa yaani kuna vitu vya kushangaza kweli, ckuitegemea hii...taste?
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  We dogo, acha saundi bana!...we majibu yote unayo unaenjoy watu tu!!
  Kwanini hujauliza kwanini wanawake watu wazima wanapenda serengeti boys!!
  All in all, ni mambo ya kishenzi tu yanayotuendesha haya!..Ni hopes and dreams...mtu anakuwa na mawazo kichwani mwake kwamba huenda mdogo ana tofauti...!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mpwa nina wasiwasi ulipoenda kwenye mapanki inawezekana sehemu uliyofikia ilikuwa karibia na chuo
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kwani huyu binti yeye atakaa na huyo mzee daima? c lazima atakuwa na kijana wake wa kujirusha nae kwanza age inamruhusu, pili huyu baba mambo ya kujirusha kwake hayapo, binti tamaa zake yupo na mzee ananunuliwa blackberry na pesa ya weekend anaenda kujirusha na kijana wake,chain inaendelea....tutakufa kama kuku wa kideri haki ya nani tena.
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ng'ombe hazeeki maini ati!
  Vibinti vinaenda kuchuna ,wababa wanafukuza uzee :becky:
   
 19. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hawa wenye uwezo wa kuwazaa hawa mabinti 45 n above
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ndio mana wanafia lodge, lol
   
Loading...