Kwa nini wanaume wanapoachika wanakonda sana??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,134
Samahani kama ni muathirika wa hili??
Lakini tupo kwenye research mmejiuliza kwa nini wanaume wanakonda wakiachika
 
wanaume wa kihindi..........? (wahindi ndio wanawake wanaoa/ wanaume wanaolewa)
 
Kama kweli unampenda mwenzza wako (sio kumtaperi) jaribu kuwa mbali naye then utakuja na majibu.
 
care hakuna mawazo and ainwezekana muda waliotalikiana ndo anoana umuhimu wa huyo mkewe mawazo ndo yanawakondesha nnamfano hai ktk hili bb mdogo wangu mpk kachakaa lkn mama mdogo anazidi kunawili sababu yeye alikua sababu kutwa nzima kumpiga mwanamke na kulala na wanawake wa nje
 
inategemea kama alikuwa anapata vyombo vya nguvu lazima a date tu hata kama alikuwa na vimeo nje lazima kuna sehemu huwa wanaume hawapumui wala kufurukuta dawa yao nikuwapa vyombo safiiiiiiiiiii taratibu then unampepea unafukiri akisikia kuachwa inakuwaje hapo full majotrooooooooo
 
Back
Top Bottom