Kwa nini wanaume wanaoa wanawake waliowajua Muda mfupi? Na wanawake pia

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Cousin wangu alikuwa na girlfriend almost 5 years .Tulimpenda walikuwa wanapendana watu wote tulijua wataoana,suddenly Jana nasikia anaoa kwa mdada aliyekutana naye Kwenye ndege na amemjua for a month.kwa nini Mara nyingi wanaume au wanawake wanafanya hivi ?
 
Kuchokana katia mahusiano ni kitu common sana...hasa unapogundua uliye naye sio wife material............
 
hahaha wale wa long time wanakuwa sio wife material na tunakiwa nao becoz tunajua tunapata K bila wasiwasi wakati bado unasaka wife material....alafu wanawake nanyi mnakuwa kama hamnazo wee mwanaume miaka miwili tuu inamtosha kutangaza nia ya kuoa....lakini mnakaa miaka alafu mnashanga mkibwagwa...umejishusha hadhi mwenyewe
 
Mara nyingi sana ukiruka mkojo wakanyaga nini?namsikitikia mtoto wa watu .wanaume wa Kibongo macho nne
 
Cousin wangu alikuwa na girlfriend almost 5 years .Tulimpenda walikuwa wanapendana watu wote tulijua wataoana,suddenly Jana nasikia anaoa kwa mdada aliyekutana naye Kwenye ndege na amemjua for a month.kwa nini Mara nyingi wanaume au wanawake wanafanya hivi ?

Ndoa huandikwa mbinguni mkuu !!
Mkipendana na kama mnaendana, inabidi mumuombe Mungu abariki mahusiano yenu, vinginevyo utashangaa mume au mke kakubwaga kwenye matope!
Tena hii huwesa kutokea hata kama bado mpenzi wako unampenda, na sometimes zinaweza kukujia huruma !!!
 
Cousin wangu sababu yake eti huyo x wake tangia apate kazi hmweshimu yaani nimesikitika sana .kampotezea Muda mwenzie
 
Sio riski yake, mpeni moyo mumfariji y-wifi yenu, lakini umri huo ni kubwa sana, ni zaidi ya uchumba !!!
 
Cousin wangu sababu yake eti huyo x wake tangia apate kazi hmweshimu yaani nimesikitika sana .kampotezea Muda mwenzie

Halafu mara nyingi wanaume wanaingia mkenge, Mungu nae huchomeka bakora zake hapo2 somtimes!!
kwahiyo sishangai ukisema ni mapepe !!
 
Inawatake how long kugundua cyo wife material? Every woman is a wife material as long as umeuse kitumbua na kuwa satisfied, ndo mana mie i dnt trust in the uchumba bullsh*t icant gv a man more than 2yrs of free ride....
Kuchokana katia mahusiano ni kitu common sana...hasa unapogundua uliye naye sio wife material............
 
Unawatake how long kugundua cyo wife material? Every woman is a wife material as long as umeuse kitumbua, ndo mana mie i dnt trust in the uchumba bullsh*t icant gv a man more than 2yrs of free ride....

Kwa avatar za warembo tu dadangu hujambo, nazipenda sana! sijui ni rihana au brandy !!!

Kwa hiyo mkuu wewe mwisho miaka miwili ???? yet it is much, au ukiwa unashuhudia juhudi endelevu !!!!
 
Men don't care about women feelings
 
Kwa avatar za warembo tu dadangu hujambo, nazipenda sana! sijui ni rihana au brandy !!!

Kwa hiyo mkuu wewe mwisho miaka miwili ???? yet it is much, au ukiwa unashuhudia juhudi endelevu !!!!

jambo endelevu lipi? Most wa wanaume wa ckuhiz ni kuwa nao kwa malengo,if lengo langu ni sex or a kid sintojal kuhusu muda wa kufling, so its abt knowng wat u want as a woman an hw to get it,mambo ya kutumika 5yrs na kuwa thrown away like a piece of toilet paper its beyond stupidity.....
 
Nashkuru kwamba sisi wa zamani kidoogo tulikuwa na mipangilio !!

Mimi nadhani kwa maisha ya sasa ni kama watu wanaishi kimitego2! lakini ikifikia hatua mkiwa kitu kimoja (synchronised)
then, hakuna haja ya kubabaishana na kuyumbishana, tatizo vijana wa sasa wana mambo meengi kichwani !!
 
Hahahahah wana mambo mengi eeeeh waambie hao......bora cye wa zaman lol

Back
Top Bottom