Kwa nini wanaume huwa ni wenye kujisifu sana katika mahusiano kuliko wanawake?

demu anafanyiwa dume linafanya kuna tofauti kubwa sana japo kuwa sio ustaarabu kujisifu ila demu hawezi kujisifu kwa sababu anafanyiwa
Mkuu umeshawahi kufuatilia issue hii? Kilichopo hapa ni kwamba tathmini aliyofanya mkuu hapo juu inakuwa rahisi kupata data kwa upande wa wanaume kwa sababu wanawake wengi huwa hawapendi kuzungumzia mambo haya panapokuwa na mchanganyiko wa wanaume na wanawake. Mimi nimeshawahi kukuta wadada wanapeana issue hii wakiwa wenyewe tu, hivyo siamini kama mawazo ya mwanzilishi wa thread hii ni sahihi.
 
Back
Top Bottom