Elections 2010 Kwa nini wanarekodi namba ya mpiga kura kwenye karatasi ya kupigia kura

Jamani, jamani, jamani. Hebu tuangalie na tufikiri na tutafakari kwa kina juu ya suala hili na kwanini wameamua kufanya hivyo. Athari zake hatuwezi kuziona sasa hivi, lakini utashangaa hapo baadaye mambo yanavyobadilika kwa mfano utashangaa unaomba kazi serikalini matokeo yake unakosa eti kwa sababu ulikipigia kura chama fulani.
Utaratibu wao wa kunakili namba ya kitambulisho changu kwenye karatasi za kupigia kura maana yake inajulikana kuwa nani kampigia kura nani, ila si kwa wale waliopo kwenye kituo cha kupigia kura.

Labda niulize swali lifuatalo ambalo litaondoa utata huo:-

Je, yale makaratasi ya kupigia kura mara baada ya kuhesabiwa kwa kura HUPELEKWA WAPI??????, Je, wanayahifadhi sehemu fulani? au yanachomwa moto?

Majibu tarajiwa:
Kama huhifadhiwa sehemu fulani au hupelekwa sehemu fulani basi huko ndio utakakojulikana ulimpigia kura nani.
 
Hata mi nilishtuka baada ya kuona hivyo ila wasiwasi niliondoa kwa ile hiyo namba haipo kwenye karatasi ninayokwenda kupigia kura kwa hiyo nothing to worry
 
Uzuri ni kwamba hizo namba hazibaki kwenye karatasi unayokwenda kutia tiki. Hakuna mtu anaweza kujua kura fulani ilipigwa na fulani.

Hofu yangu mimi ni yale majina yanayobaki kutokana na wahusika kutokufika kupiga kura. Yanapelekwa wapi? Hayapigishwi?


Mimi kama niliona kwamba namba yako ya kadi INABAKIA kwenye karatasi ya kupigia kura. Siwaogopi, hawanifanyi lolote!
 
ukweli watajua kabisa kuwa ww umempigia nani mana karatasi wanaesabu wao na zinabaki na namba zinabaki pale anapochana na zina namba zile karatasi so wakijakutakakujua ulimpigia nani wanajua kabisa naona staili yao mpya hiii
 
Back
Top Bottom