Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Bado natafakari,Hata kama kulikuwa na ulazima wa kuwavyunjia watu wa bonde la msimbazi,Kwa nini hawakutumia busara watu wale wapate haki yao ya kusherekea mwaka mpya?Familia zile ziliupokea mwaka 2016 zikiwa nje,Ulikuwa ni udikteta uliopitiliza.Bado nawaza aliyetoa amri ile kama ana afya ya ubongo