Kwa nini walioshinda wapinzani matokeo hayatoki kwa wakati?

wizi na ghiriba tu hii nchi ipo siku tutampata mtu design ya kagame au mseveni afu tutaheshimiana tu
 
Na hayatoki bila mabomu kupigwa. mfano Tanga Mjini Watu waliacha misuli na makobazi barabarani.
 
wanasubili maelekezo kutoka juu so jiulize juu ni kwa mungu au wapi maana Kila mtu anasema maelekezo kutoka juu
 
ni maajabu huko chalinze matokeo yametoka mapema hapa mjini bado kisingizio ni miundo mbinu sasa nauliza chalinze na dar ni wapi kuna miundombinu?
 
Ina maana wanaotangazwa washindi kwa sasa ni UKAWA tu? Kwamba CCM walitangazwa kwa wakati kwa mujibu wa nyumbu!!!
 
Ina maana wanaotangazwa washindi kwa sasa ni UKAWA tu? Kwamba CCM walitangazwa kwa wakati kwa mujibu wa nyumbu!!!

Mijitu jinga km nyie ndio mnaotumiwa na ccm kufanya ghiliba wakat familia zenu choka mbaya.....hujaelewa swali wala kufanya comparative analysis ya utoaji wa matokeo.
 
Mijitu jinga km nyie ndio mnaotumiwa na ccm kufanya ghiliba wakat familia zenu choka mbaya.....hujaelewa swali wala kufanya comparative analysis ya utoaji wa matokeo.

boss umetumia lugha ngunu sana hapo ukimwambia mtu km huyo comparstive analysis hawezi kukuelewa..post yake tu inakuonesha hivyo
 
Swali langu,mbona majimbo yote waliyoshinda wapinzani kura zinazotangazwa na NEC kuwa ziliharibika ni nyingi sana ukilinganisha na yale ya CCM?Hivi Kilindi wapiga kura zaidi ya elfu arobaini haijaharibika hata moja?
 
Kilindi wamekosea angalia hata percentage yake chauma na chadema ccm bwana wanaiba hadi watoto wadogo wanajua humu mitaani sasa kama ni wezi #very sad
 
Back
Top Bottom