kWA NINI WALIOFERI WAPO C B E?

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
998
363
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
 
ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja
 
mbona unashambulia wadada / watoto wa kule wapo classic mzeeiya kama ulitegemea ka slope rudi home ukajipange...
Unafikiri chuo gani wanafunzi wake wana akili yaani zinaendaga Div 1 na Div 2?

ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja
 
Mtoa mada ni binadamu mwenye ubongo wa mjusi....anachojua yeye ulimwengu wote upo juu ya mti anaokaa yeye..
 
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
20486804.jpg
 
Hili jamaa akili halina, afu ukute lipo kijijin huko limewaza na kuwazua lipost nn jf watu walisifie ndo limekuja na hoja ya Kudis," kwa mwendo huuu kuna hatar ya kupata Rais Shoga"
 
ningekuwa mzazi wako ningekukana kuanzia leo. ila watake radhi wanachuo wenzetu
 
Back
Top Bottom