Kwa nini wakatoliki wanasaidia sana vituo vya watoto wa mitaani na yatima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wakatoliki wanasaidia sana vituo vya watoto wa mitaani na yatima

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ANTA, Feb 14, 2012.

 1. A

  ANTA Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti ni kweli kanisa katoliki linasaidia vituo vya watoto wa mitaani
  na yatima sana kwa kuwa wanawajua wazazi wa watoto hawa. Mh, eti ni
  kwa sababu wazazi wao wengi ndo viongozi wao wa misa ( naogopa
  kuwataja, labda faza, padire au sio spelling zake?) na walio wengi
  mama zao ndo haoooo nguo na vilemba vyeupe. Mh, utani mwingine
  bwana, kama ukweli viiile. Tuwalee watoto wa mitaani na kuwasaidia
  kwa moyo mmoja jamani.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  pombe pombe ukishalewa inakuwa noma pombe pombe ukishalewa inakuwa sooo!
   
 3. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Bange bange bange inakusabaisha uropokeee... bange bange bange inakusababisha ufikiri kwa masaburiii......
   
 4. K

  Kajole JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  masaburi on the motion,.go go gooo bwana
   
 5. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,948
  Likes Received: 1,585
  Trophy Points: 280
  mwanaasha kazini...
   
 6. m

  mkazamjomba Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchizi sio lazima uokote makopo na kuokoka sio lazima uhubiri sokoni
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  amakweli ugoro unaharibu vijana
   
 8. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bhange ya kuvutia kwenye choo cha shimo unalewa mara mbili...
   
 9. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Huu sasa sio utani bali ni fedhea.
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ingekuwa kweli watoto hao wangekuwa watumishi altereni na kulelewa seminari wawe mapadri
  wa kike wanengelelewa kwenye nyumba za kitawa wawe masista.
  wapo ndio mapadri wenye watoto ila wanawatunza kisirisiri. kituko wana zamu za kutembelea wajane sijui wanaenda kutafuta nn kwao,
   
 11. L

  Lymphocytes Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe uwo ufacebook wako wapelekee walevi wenzio wb fb....au ndo mara yako ya kWanza kuchanganya bange na gongo...waulize wenzio wa fb wanavyofanya.
   
 12. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna utani wa kuingilia imani za dini za watu wengine. Hapa somo umekwea mnazi wakati umevaa taulo halafu chini kuna watoto wanapita.
   
 13. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndug yang tumia bhange shirikishi utakuwa mwwweeeehhhhuuuu
   
 14. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Yaani huyu ni zaidi ya mwanaasha, wakiwekwa na mwanaasha darasani mwanaasha atamuongoza kwa 100%
   
 15. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wana JF nanyi mnavuta bangi sasa kumbukeni ukurasa huu ni wa utani na utani hauna mipaka waone kwanza vichwa kama pweza jike!
   
 16. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Kama ni utani basi usihofu kwa sababu wewe ni mke wangu wa nyumba ndogo leo jitayarishe kupanua upaja mti waja
   
 17. m

  mbambaguy JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shrkisha ubongo kabla hujapost
   
 18. G

  G.JUMA Senior Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahc una akili za kuvuka barabara.
   
 19. sister

  sister JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  utani siyo kwenye dini bwana na kama utani hauna mipaka tukimtania mama yako mzazi utafurahi?
   
 20. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huyu anakiuka maadili ya wana JF. Kwa nini unafanya utani na masuala ya dini? tukianza hivi tutasambaratika hapa. OMBA RADHI MARA MOJA NA log off.
   
Loading...