Kwa Nini Waislamu Ndiyo Wahanga Wakuu Katika Matukio ya CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Nimetafakari matukio ya mauaji na majeruhi yanayotokea katika mikutano na harakati nyingi za CHADEMA na kubaini kuwa mara nyingi wahanga wakuu ni wale wenye majina ya Kiislamu. Ebu tuangalie katika matuki machache yafuatayo:

Maandamano ya CHADEMA Morogoro-Marehemu Ally Zona

Maandamano ya CHADEMA Arusha January, 11-Marehemu Ismail Omari (37) na wengineo

Mkutano wa CHADEMA Arusha June, 13-Sharifa Jumainne (mahututi), Abubakar Adam (majeruhi), Fahad (miaka 7, majeruhi), Ramadhani Juma (Marehemu), Amir Ally (marehemu)

Viongozi wa kisiasa waliokamatwa na kuswekwa ndani katika tukio la jana Soweto-Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara, Mzee Said Amour Arfi, Mustafa Akonay (Mbulu)
 
Udini huu Moods........mbona hutaji Mwangosi Daudi, Na waathirika maelefu wa huko Arusha, mbona hutaji wabunge wengine waliokamatwa na Arfi , vinginevyo inaonyesha kuwa CDM sio cha wakristo kama mlivyotaka kuiaminisha dunia bali ni cha wote ndio maana maafa huwafika wote .......ila huu ulioandika ni uharo.....
 
Nimetafakari matukio ya mauaji na majeruhi yanayotokea katika mikutano na harakati nyingi za CHADEMA na kubaini kuwa mara nyingi wahanga wakuu ni wale wenye majina ya Kiislamu. Ebu tuangalie katika matuki machache yafuatayo:

Maandamano ya CHADEMA Morogoro-Marehemu Ally Zona

Maandamano ya CHADEMA Arusha January, 11-Marehemu Ismail Omari (37) na wengineo

Mkutano wa CHADEMA Arusha June, 13-Sharifa Jumainne (mahututi), Abubakar Adam (majeruhi), Fahad (miaka 7, majeruhi), Ramadhani Juma (Marehemu), Amir Ally (marehemu)

Viongozi wa kisiasa waliokamatwa na kuswekwa ndani katika tukio la jana Soweto-Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara, Mzee Said Amour Arfi, Mustafa Akonay (Mbulu)

Chama makini kisicho na udini kitakuwa na wanachama wa dini zote tofauti na chama cha kidini kitakuwa na wanachama wa dini yake tu. Chadema ni Chama Makini sana na kinapendwa na waumini wa dini zote na zile ambazo hazijazaliwa. Wahanga uliowaorodhesha hapo juu ni ushahidi kuwa Chadema ina wanachama wa dini zote isipokuwa wewe umechambua majina ya wale wanachama wa dini moja. Hata hivyo Mungu awasamehe makosa yao na awapokee katika ufalme wake, Amina!!
 
Mwisho wa kunukuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom