Kwanini Waingereza wanakubali kuongozwa na Ukoo mmoja tu, Ufalme?

Usilete story za kutunga ,eti siyo waingereza ,yaani umesoma kitabu kilichoandikwa na wanaopinga ufalme wa UK.
Halafu ww ni mbumbumbu mkubwa sana,malkia ana jeshi lake,royal army na jeshi la UK pia,hana sauti kama magufuli Tanzania,wenye sauti ni waingereza wote kupitia kwa waziri mkuu waliyemchagua kidemokrasia,sijui nikuambieje wewe pimbi uelewe.
Wewe ndio hujui sasa, alafu unaandika as if you're an expert, wabongo bhana.
 
Usilete story za kutunga ,eti siyo waingereza ,yaani umesoma kitabu kilichoandikwa na wanaopinga ufalme wa UK.
Halafu ww ni mbumbumbu mkubwa sana,malkia ana jeshi lake,royal army na jeshi la UK pia,hana sauti kama magufuli Tanzania,wenye sauti ni waingereza wote kupitia kwa waziri mkuu waliyemchagua kidemokrasia,sijui nikuambieje wewe pimbi uelewe.
Huyu mwanaJF mwenzetu ameuliza ili kujua sasa hili povu lote la nini! ama una chuki naye?
 
Unachanganya ndizi na malimao, CCM siyo Ufalme na Viongozi wa CCM wanachanguliwa hawarithishani, Uingereza unaongozwa na Ufalme baba hadi mtoto kuna tofauti hapo nadhani!
Hakuna utofauti kama mtu unaangalia vizuri. Kwasababu mwisho wa siku CCM na WINDSORS wote ni watawala wa nchi. Kuruhusu Monarchy iwepo hilo kawaulize wakina Oliver Cromwell ambao baada ya kupindua nchi waliamua iwe hivyo.

Kingine Usisahau kwamba Uingereza ni Ufalme wa Kikatiba (Constitutional Monarchy) hivyo mfumo wa kuruhusu familia moja itawale upo Kisheria na ulipitishwa kabisa na Bunge (The House of Commons). Kikubwa zaidi Waingereza wanampenda sana Malkia wao kuliko unavyoweza kufikiri, hebu fanya utafiti wako mwenyewe.

Halafu kuna hoja moja mufilisi umeileta hapa. Eti wale siyo wenyeji wa pale visiwani, hivi unajua kwamba Anglo-Saxons wote siyo wenyeji pale visiwani ??? Halafu nilitegemea unafahmu ukweli ambao mtoto wa kidato cha sita anaujua, kwamba Wafalme wote wa Ulaya ni ndugu na ni Uzao wa Mfalme Charlemagne The Great wa dola la Rumi. Waingereza, Wajerumani, Wafaransa, Wadachi na Wahispania woteee ni ndugu. Wewe utasemaje wale siyo wenyeji pale visiwani ??
 
Hicho ni kiini macho tu, hakuna Sheria inayopitishwa bila ya watu wa Ufalme kuingalia na kuikubali.
Isitishe TZ tunaweza kuiondoa CCM tukiamua Uingereza hawana huo uwezo bila ya Mapinduzi!

Lkn Ufalme ndiyo unaoongoza Uingereza na Makoloni yake ni kwanza Ufalme wa Uingereza uko JUU ya Sheria za Uingereza!
 
Wewe jamaa ni mwongo sana na siasa zako ni za mihemko bila kufanya udadisi. Hivi umesoma makubaliano yaliyofanywa baina ya Familia ya Kifalme ya Uingereza na Bunge baada ya The Glorious Revolution au umekuja tu hapa kupinga ???

Hivi mbona hujajiuliza Swali kama hili kuhusu Ufalme wa Japan ??? Mbona mfalme Hirohito na The Shogunate walifanya vita mbaya sana kule Pasifiki na kuua mamilioni lakini bado Ufalme upo mpaka leo ??? Worse enough The Imperial House of Japan is one of the oldest institution in the world.
 
Wewe jamaa ni mwongo sana na siasa zako ni sa mihemko bila kufanya udadisi. Hivi umesoma makubaliano yaliyofanywa baina ya Familia ya Kifalme ya Uingereza na Bunge baada ya The Glorious Revolution au umekuja tu hapa kupinga ???

Nitajie kipi nilichoongopa hapo ili nielezee!
 
Kama watani zetu CHADEMA wao mwenyekiti wao ni Mbowe tu. Yaani hakuna hata Demokrasia kama jina la chama kinavyojiita.. Ukitaka kuitwa msaliti adui mkubwa wa CHADEMA ebu jaribu kugombea uenyekiti. Dunia hii bana watu wanajimilikisha chama, nchi hadi na mali zake..
Hahaha Boliti
 
Aliyekudanganya nani, waziri mkuu Kama house girl tu kazi zake zote anafanya kutokana na matakwa ya familia ya kifalme...ndo maaana ukichaguliwa tu ni lazima ukaonane na Queen kabla ya kuanza kazi
The qeen yuko na power hadi AUSTRALIA sembuse UK..
Hata hvyo mnashangaa nini mbona huyu mgurugusi mnataka kumpa uraisi wa maisha
 
Nitajie kipi nilichoongopa hapo ili nielezee!

Mosi,
Nguvu ya Kifalme aliyonayo Malkia (The Royal Prorigative) alipewa na Bunge lenyewe baada ya The Glorious Revolution.

Pili,
Kisheria mpaka kufika Karne ya 20 mwishoni kulikuwa na kitu kinaitwa The Parliamentary Supremacy ambapo bunge la Uingereza lilikuwa lina nguvu ya kupitisha au kupinga kitu chochote kile ndani ya nchi au kutunga sheria yoyote ile endapo litaamua na hakuna ambaye angeweza kupinga. Hii hapa lengo lilikuwa nu kutaka kufanya Checks and Balances baina ya Mfalme na The middle class.

Tatu,
Usisahau kwamba miaka ya 1940's Uingereza walipisha Sheria ya kuweza kuishitaki Serikali na ile dhana ya kwamba "A king cannot be sued in his own court ilikufa" baada ya kupitisha The Government Proceedings Act. Ambapo serikali ya malkia ilishitakiwa ila kwa kutuma mwakilishi wa Serikali. Hapo utasemaje Malkia yuko juu ya Sheria ???

Nne,
Hata nguvu za kutangaza vita siyo za moja kwa moja. Kuanzia mwaka 1939-1945 Mfalme alikuwa na Royal Prerogative ya kukamata mtu yoyote wakati wa vita ambaye alionekana ni adui wa Ufalme wa Britannia. Lakini Bunge likashauri kuwe na ofisi ya wanasheria ambayo itahakikisha kwamba hizi nguvu hazitumiwi vibaya kuwakandamiza watu wasio na hatia kipindi cha vita.

NB: Usisahau kwamba The Royal Prerogative inakuwa na uhalali pale tu ambapo mfalme atafanya vitu kwa manufaa mapana ya Raia wake (Royal Subjects). Halafu membo uliyoyaleta wewe hapa ni nadharia za kwenye makatarasi tu bila mifano halisi ya wapi Malkia aliwahi kutumia nguvu zake vibaya tokea mwaka 1900. Hichi ndicho kinafanya ile familia iendelee kuheshimika, ina nguvu lakini huwezi kukuta inafanya siasa za hovyo hata siku. Hii ndiyo dhana nzima ya Constitutional Monarchy....!
 
Uko Ulaya mbali embu tumulike African countries Kuna Kuna muswati Switzerland tena now kabadilisha jina kabsa LA taifa lake
 
Mosi,
Nguvu ya Kifalme aliyonayo Malkia (The Royal Prorigative) alipewa na Bunge lenyewe baada ya The Glorious Revolution.

Pili,
Kisheria mpaka kufika Karne ya 20 mwishoni kulikuwa na kitu kinaitwa The Parliamentary Supremacy ambapo bunge la Uingereza lilikuwa lina nguvu ya kupitisha au kupinga kitu chochote kile ndani ya nchi au kutunga sheria yoyote ile endapo litaamua na hakuna ambaye angeweza kupinga. Hii hapa lengo lilikuwa nu kutaka kufanya Checks and Balances baina ya Mfalme na The middle class.

Tatu,
Usisahau kwamba miaka ya 1940's Uingereza walipisha Sheria ya kuweza kuishitaki Serikali na ile dhana ya kwamba "A king cannot be sued in his own court ilikufa" baada ya kupitisha The Government Proceedings Act. Ambapo serikali ya malkia ilishitakiwa ila kwa kutuma mwakilishi wa Serikali. Hapo utasemaje Malkia yuko juu ya Sheria ???

Nne,
Hata nguvu za kutangaza vita siyo za moja kwa moja. Kuanzia mwaka 1939-1945 Mfalme alikuwa na Royal Prerogative ya kukamata mtu yoyote ambaye alilnekana ni adui wa Ufalme wa Britannia. Lakini Bunge likashauri kuwe na ofisi ya wanasheria ambayo itahakikisha kwamba hizi nguvu hazitumiwi vibaya kuwakandamiza watu wasio na hatia.

NB: Usisahau kwamba The Royal Prerogative inakuwa na uhalali pale tu ambapo mfalme atafanya vitu kwa manufaa mapana ya Raia wake (Royal Subjects). Halafu mengo uliyoyaleta wewe hapa ni nadharia za kwenye makatarasi tu bila mifano halisi ya wapi Malkia aliwahi kutumia nguvu zake vibaya tokea mwaka 1900. Hichi ndicho kinafanya ile familia iendelee kuheshimika, ina nguvu lakini huwezi kukuta inafanya siasa za hovyo hata siku. Hii ndiyo dhana nzima ya Constitutional Monarchy....!

Siyo kweli hivyo vyote ni viini macho ili Ufalme uendelee kutawala, wamejiondoa kwenye Siasa za kila siku sijui mambo ya ajira, afya n.k. hayo mambo wamewaachia Wanasiasa ili kujiepusha na chuki ktk kwa Wananchi, kwa mfano kukiwa hakuna ajira Wananchi watadili na Wanasiasa na siyo Ufalme, Vita ya Iraki aliyelaumiwa ni Waziri Mkuu ingawaje Amiri Jeshi Mkuu ni Malkia, Uingereza haiwezi kuingia Vitani bila ya Malkia kukubali ndiyo maana Jeshi la Uingereza lina jina ,,royal”!

Isitoshe Malkia yuko JUU ya Sheria na hawezi kushitakiwa popote Uingereza kwa kosa lolote lile kwanza Mahakama yenyewe ya Uingereza inaapa kwa jina lake.

Kuhusu Bunge la Uingereza ni usanii mwingine kudanganya watu, unafahamu kitu kinaitwa upper house? Hao ndio wanaopitisha Sheria zote zilizopitishwa na Bunge na upper house hawachaguliwi na Wananchi bali wanateuliwa na kutenguliwa moja kwa moja na Ufalme hivyo wanawakilisha maslahi ya Ufalme na hakuna Sheria inapita bila ya upper house kuridhia, inawajibika kwa Ufalme na siyo Wananchi wa Uingera!
 
Bado unashabikia kitu usichokijua,
Upper House ni House of Lords ambao ni Majaji wa Mahakama kuu ya Uingereza. Miaka ya nyuma House of Lords ilikuwa ni ya kifamilia (Hereditary) na walikuwa na VETO ya kupinga Sheria za Lower House ambayo ni Hous of Commons. Siku hizi hawana tena hiyo nguvu ya kupinga zaidi zaidi wana nguvu ya kupitia Sheria zilizopitishwa na wabunge au mikataba ya kimataifa na kulishauri Bunge au Serikali ifanye marekebisho yoyote ya Msingi.

Waingereza waliamua kuwanyang'anya majaji haki ya kuwa na kura turufu (VETO) dhidi ya sheria za bunge kwasababu mbili: Independence of the judiciary na Parliamentary Supremacy, kisheria ni makosa sana kuruhusu Bunge na Mahakama vifanye kazi bumper to bumper lazima tu vitaingiliana.

Halafu kibaya zaidi ni kwamba Bunge linakuwa na Spika kama kiongozi wa Lower House na Jaji Mkuu kama mwenyekiti wa Upper House halafu na ana kura turufu ya kupinga Sheria zote za Bunge. Wakaona haifai wakafanya mabadiliko, hivyo Mkuu Barbarossa hapa umesoma nyaraka za zamani sana bila kuangalia nini kinaendelea sasa hivi.

Mwisho kabisa,
Kama unajua kwamba serikali inafaanya kazi kwa idhini ya malkia basi nilitegemea ungefahamu ukweli kwamba Serikali ikishitakiwa basi ameshitakiwa Malkia. Lakini wewe umekomaa kwamba Malkia hashitakiwi...Hebu pitia upya mfumo wa Sheria za Uingereza wewe mwenyewe bila kusoma mitandaoni propaganda za watu.
 
Bado unashabikia kitu usichokijua,
Upper House ni House of Lords ambao ni Majaji wa Mahakama kuu ya Uingereza. Miaka ya nyuma House of Lords ilikuwa ni ya kifamilia na walikuwa na VETO ya kupinga Sheria za Lower House ambayo ni Hous of Commons. Siku hizi hawana tena hiyo nguvu ya kupinga zaidi zaidi wana nguvu ya kupitia Sheria zilizopitishwa na wabunge au mikataba ya kimataifa na kulishauri Bunge au Serikali ifanye marekebisho yoyote ya Msingi.

Wewe ni wengi ambao hamjauelewa huo mfumo, nilichokwambia hao House of Lords wanapitia Sheria zote kwa niaba ya Ufalme na siyo Wananchi wa Uingereza kwa maana hawachaguliwi bali wanateuliwa isitoshe kama Sheria haina Maslahi ya Ufalme wana nguvu (iliyojificha) kutoipitisha!

Ufalme wa Uingereza unaweza kumfukuza kazi Waziri Mkuu wa Uingereza kwanza siyo Uingereza tu hata Waziri Mkuu wa Kanada au Australia anaweza kukataliwa na Ufalme wa Uingereza na kuvunja Serikali.

Hao Ufalme ni wajanja sana ili waendelee kutawala wanakwenda wakibadilisha mambo ili kuwaridhisha, wamejiondoa kujishugulisha na mambo madogo madogo ya kila siku wamewaachia Wanasiasa hivyo kama elimu, kazi sijui lishe mtajuana huko na Wabunge wenu wao hawahusiki na wanakwenda na wakati ili waendelee kutawala kwa mfano sasa hivi Prince Harry anao Mwanamke chotara mwenye damu Nyeusi kwa mara ya kwanza lengo ni kuendelea kuwambaza na kufikiri ni kama nyie lkn mwisho wa siku wana power ya kuondoa Serikali madarakani, kama ikienda kinyume na Ufalme!
 
Hivi kwa nini hawafanyi Mapinduzi kama Ufaransa, Ujerumani au nchi nyingine za Ulaya na kuondoa Ufalme? Kwa nini wanakubali kuongozwa na Ufalme ambao kwanza ni foreigners hapo Visiwani?

Ndiyo maana Mugabe aliwaambia wanamlaumu yeye Mugabe kukaa muda mwingi madarakani wakati Malkia wao yuko madarakani kwa muda mrefu kulikoi yeye
 
Aliyekudanganya nani, waziri mkuu Kama house girl tu kazi zake zote anafanya kutokana na matakwa ya familia ya kifalme...ndo maaana ukichaguliwa tu ni lazima ukaonane na Queen kabla ya kuanza kazi

Malkia ndiye Head of State
 
Wewe ni wengi ambao hamjauelewa huo mfumo, nilichokwambia hao House of Lords wanapitia Sheria zote kwa niaba ya Ufalme na siyo Wananchi wa Uingereza kwa maana hawachaguliwi bali wanateuliwa isitoshe kama Sheria haina Maslahi ya Ufalme wana nguvu (iliyojificha) kutoipitisha!

Ufalme wa Uingereza unaweza kumfukuza kazi Waziri Mkuu wa Uingereza kwanza siyo Uingereza tu hata Waziri Mkuu wa Kanada au Australia anaweza kukataliwa na Ufalme wa Uingereza na kuvunja Serikali.

Hao Ufalme ni wajanja sana ili waendelee kutawala wanakwenda wakibadilisha mambo ili kuwaridhisha, wamejiondoa kujishugulisha na mambo madogo madogo ya kila siku wamewaachia Wanasiasa hivyo kama elimu, kazi sijui lishe mtajuana huko na Wabunge wenu wao hawahusiki na wanakwenda na wakati ili waendelee kutawala kwa mfano sasa hivi Prince Harry anao Mwanamke chotara mwenye damu Nyeusi kwa mara ya kwanza lengo ni kuendelea kuwambaza na kufikiri ni kama nyie lkn mwisho wa siku wana power ya kuondoa Serikali madarakani, kama ikienda kinyume na Ufalme!
Mkuu bado unabishana na Malcom Lumumba ? Naona unajenga Mapenzi Vs Facts. Nina uhakika kuwa unachoongelea hapa ni kile ulichosimuliwa, aliyekusimulia kuna mahala alisoma akakusimulia apendavyo na wewe ukapokea sababu unayapenda.
ila nashauri soma vizuri majibu yake na kama huna namna nzuri ya kupingana naye basi kubaliana naye tu hata kama yanafuta dhana uipendayo na uliyoizowea
 
Wewe ni nani hadi unipangie jinsia ya kuandika na kumjibu mtu?
 
Bado unashabikia kitu usichokijua,
Upper House ni House of Lords ambao ni Majaji wa Mahakama kuu ya Uingereza. Miaka ya nyuma House of Lords ilikuwa ni ya kifamilia na walikuwa na VETO ya kupinga Sheria za Lower House ambayo ni Hous of Commons. Siku hizi hawana tena hiyo nguvu ya kupinga zaidi zaidi wana nguvu ya kupitia Sheria zilizopitishwa na wabunge au mikataba ya kimataifa na kulishauri Bunge au Serikali ifanye marekebisho yoyote ya Msingi.

Waingereza waliamua kuwanyang'anya majaji haki ya kuwa na kura turufu (VETO) dhidi ya sheria za bunge kwasababu mbili: Independence of the judiciary na Parliamentary Supremacy, kisheria ni makosa sana kuruhusu Bunge na Mahakama vifanye kazi bumper to bumper lazima tu vitaingiliana.

Halafu kibaya zaidi ni kwamba Bunge linakuwa na Spika kama kiongozi wa Lower House na Jaji Mkuu kama mwenyekiti wa Upper House halafu na ana kura turufu ya kupinga Sheria zote za Bunge. Wakaona haifai wakafanya mabadiliko, hivyo Mkuu Barbarossa hapa umesoma nyaraka za zamani sana bila kuangalia nini kinaendelea sasa hivi.

Mwisho kabisa,
Kama unajua kwamba serikali inafaanya kazi kwa idhini ya malkia basi nilitegemea ungefahamu ukweli kwamba Serikali ikishitakiwa basi ameshitakiwa Malkia. Lakini wewe umekomaa kwamba Malkia hashitakiwi...Hebu pitia upya mfumo wa Sheria za Uingereza wewe mwenyewe bila kusoma mitandaoni propaganda za watu.

Demokrasia hapa duniani haipo popote na ninadhani haitakuwepo milele kama binadamu ataendelea kutawala sayari lakini kitu kilichopo ni kukariri tu au kujitia unafiki. Kwa mfano, Kuna Waingereza wanaoitamani/wanaweza imdu barabara nafasi ya ufalme katika nchi yao, je kuna utaratibu wanaweza kutumia kutumikia nafasi hiyo?

Tuseme Waingereza wanampenda sana malikia wao, ni kweli lakini ni kweli pia siyo waingereza wote! Hakuna mtu anayependwa na wote au anachukiwa na wote. Lengo mojawapo la uchaguzi ni watu kuonyesha hisia zao kwa mtu yeyote mwenye maamuzi juu yao. Je baadhi maamuzi ya ufalme wa uingereza hayana masilahi ya moja kwa moja kwa waingereza wa kawaida?

Ok, tuseme kuna utaratibu unaotakiwa kufuatwa wakati maamuzi ya ufalme yanapotolewa, Je nchi gani ya duniani ambayo kiongozi wao ana mamlaki ya kuamka asbuhi akapiga mswaki akastisha matangazo ya redio/tv ya taifa lake na kutoa maamuzi magumu kama kutangaza vita bila kufuata taratibu zilizowekwa na nchi yake? Je utakubariana na mimi kila nchi ina taratibu zake katika mambo ya dharura na siyo ufalme wa uingereza tu?

Yes, Ni kweli kwamba nafasi ya ufalme wa uingereza ipo kikatiba kwa sheria ya bunge lao lakin wanaowanyoshea vidole sehemu mbalimbali dunia wengi wao wapo kwa mujibu wa taratibu zao na katiba zao. Kusoma ni kitu kizuri sana lakini kusoma tu haitoshi. Hakuna katiba iliyokamilifu pote ulimwenguni labda ulazimishe.
Waingereza wana katiba iliyo bora kabisa duniani lakini inayo pia mapungufu labda tuitazame kwa mahaba niue.

Kwa mtazamo wangu nchi zina historia tofautitofauti ndo maana Wamarekani wana Rais aliyechaguliwa na wachache akakubaliwa na wengi na aliyechaguliwa na wengi akakubaliwa na wachache yuko mtaani. Hiyo ni kwa mujibu wa taratibu zao. China wameondoa ukomo wa uongozi kwa kufuata taratibu zao. Cuba wamechagua Rais mpya kwa kufuata taratibu zao. Mfalme mswati amebadili jina na nchi yake kwa kufuata taratibu zao. Uhisipania wamemtimua/ wamemshitaki kiongozi wa Catalunia aliyechaguliwa na wananchi kwa kufuata katiba yao. Msomi Malcom Lumumba tusiwe watu wa kusifia sana wala kuponda sana!
 
Aliyekudanganya nani, waziri mkuu Kama house girl tu kazi zake zote anafanya kutokana na matakwa ya familia ya kifalme...ndo maaana ukichaguliwa tu ni lazima ukaonane na Queen kabla ya kuanza kazi
Huna unalojua zaidi ya kumsifia Dikteta magufuli kila siku,kwani malkia ndo katiba ya UK?
 
Back
Top Bottom