Kwa nini Wahindi hawapendi kupokea mishahara yao kupitia akaunti za benki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Wahindi hawapendi kupokea mishahara yao kupitia akaunti za benki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 22, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  msiseme msukuma nimekuwa mkabila.

  ila huu ni ukweli.

  baadhi ya indians, na hasa wale wameajiriwa kwenye kampuni za wazawa au wawekezaji wasio wahindi, hawataki kupokea mishara yao ya mwezi kupitia akaunti namba za benki. hata kama anapokea 5m or more, ataiweka kwenye buti ya corolla na kuondoka nazo home kuliko kumuwekea kwenye akaunti. wengine hawataki hata wakatwe michango ya nssf/ppf/pspf.

  lakini wanajiita WaTz.

  hii imekaaje?
   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  duh!
   
 3. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  ndio maana hatukutani nao kwenye atm machine hata siku moja
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hawako katika kujenga uchumi wa tanzania, bali wa benki za kwao, na ukwepaji wa kodi, na mishahara ya pembeni, moja ndio wa kulipia kodi bongo na kuwadanya wabongo na mwingine jamathini wa kuendeleza koo zao na walikotoka.
   
 5. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,770
  Likes Received: 2,032
  Trophy Points: 280
  Wahindi ni watu wabinafsi sana!uku kwao walivokua strictk adi basi kwnye maswala yoyote ya kiuchumi!yani ata kutuma hela thru wu or moneygram hawaruhusu ila kuingia zinaingia ila hazitoki!
  Wanavisheria vyao very strict cjui wapoje hawa watu..no offense
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inaweza kuwa ni udhaifu wa kisheria ambapo mfanyakazi halazimiki kupokea fedha kupitia benki na hivyo kutoa nafasi ya kufanya hivyo kwa wahindi lakini pia kwa watanzania waafrika. sheria hii inaweza kuwa haipo kutokana na miundombinu ya taasisi za kibenki kutoenea kila sehemu nchini. Bado nafasi ipo ya kutoa hoja ya kisheria kwa maana ya kutunga sheria ili kuweko ukomo wa kiasi cha mshahara ambacho mfanyakazi anatakiwa kupokelea benki. kama sheria haipo hata ukimkamata mtu kama huyo atashinda kesi mahakamani. Miaka ya mwanzo baada ya uhuru pengine hili halikuwa moja ya matatizo ya kimfumo lakini jinsi muda unavyokwenda mahitaji ya wakati yanaweza kuhitajika ili baadhi ya watu wasitumie mwanya huo kukwepa kodi au hata kufanya uhalifu wa fedha chafu.
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pooooo!
   
 8. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Shamba la bibi.
   
 9. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm naomba CDM wakipata goverment iwakamate wahindi most ndio mafisadi wakubwa na kuwaweka maabusu na kuwafungukia kesi na kuwafunga mara moja wengi wao mafisadi, na sio raia wa TZ, na bado wanatudidimiza mno, wafukuzwe mara moja, nenda india kama ww mweusi utaongea kitu, hapa tunawaachia hovyo wanatanua na kutudharau hata waziri anadharaulika? mm nilimpiga mmoja 2005 pale Arusha dukani kwake alikimbia kama mbwa, eti kaniambia una park hapa gari yako nje ya duka yangu hakuna parking ondoa kabla sijatoa upepo yote, nikamsogelea taratibu mm mrefu kidogo nikaminamia nililamba kidogo tu kibao jicho kama nyanya chini aliamka alikimbia na kufunga duka, akiniona mm hata sasa hivi anaingia ndani, I hate hao watu, ni kuwachapa tu hadi waondoke
   
 10. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 11. T

  Tofty JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nina uhakika ni hii inaonyesha wazi weakness katika implementation ya sheria zetu na hiki ndiocho kitu kinachotuharibia kabisa!
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Nenda Bank of India au ile Benki inayotazamana na Kitega Uchumi, Bahindiz yamejaa pale! Sijui kwingine...

  Mapambafu sana haya watu... eti Wazawa hata Kiswahili hawajui na mtoto wa Primary wa Kihindi wanahakikisha asigusane na mswahili!!

  Dah!
   
Loading...