Kwa nini Wagogo tu??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Swali la msingi kwa nini wagogo ndo ombaomba??wakati rasli mali wanazo??siri ya urembo nini??
 
Swali la msingi kwa nini wagogo ndo ombaomba??wakati rasli mali wanazo??siri ya urembo nini??

Mkuu,

Watendee haki hao jamaa.

Tanzania ,serikali, wananchi tunabadilisha tu huo msamiati baada ya kusema sisi pia ni omba omba tunasema tunatafuta wafadhili, kwa hiyo sote ni ombaomba , yawezekana wao wametuzidi tu.

Halafu hili jina walibadilishe, wagogo,mgogo, kigogo, vigogo…utegemee nini kutokana na mlinganisho huu, kigogo cha mwembe, kigogo cha mnazi…..
 
Ndo maana Nyerere aliweka makao makuu kwa wagogo manake alijua Tanzania ni omba omba
 
na kwa nini siku ya ijumaa ndio huwa ombaomba hupita madukani misikitini kuomba?kwa nini wasiende makanisani siku ya j2 kuomba?
 
pita pale mnazi mmoja traffic lights kama saa tatu usiku, halafu uwaulize wale akina mama wale makabila yao.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom