kwa nini wadada wengi upenda jamaaa kama awa? nyie mnasemaje...

ile kitu iwe kubwa a ndogo inategemea na mmiliki wake anaweza kuichezeaje ila hao wanawashobokea mabaunsa kwa ajili ya ulinzi tu
Du! mi nilikuwa na ongelea urefu wa Shaquille O'neal (HEIGHT) hayo mengine siyajui.
 
Wafupi wakikusikia utajuta kuzaliwa! Unajua ina maana gani unapowambia wana dushelele fupi, when it comes to sex, dushelele fupi haiwezi kujaza vagina canal (this is biology plse) hivyo they do not satisfy their partners! watakuua!

zipo fupi ila ni nene kama tango pori hapo inakuwaje,na nyingine unakuta kadushelele karefu but
kembamba kama kipiece cha mshumaa
 
zipo fupi ila ni nene kama tango pori hapo inakuwaje,na nyingine unakuta kadushelele karefu but
kembamba kama kipiece cha mshumaa

Kwa vile kuna proportionality ya body size na appendages/viungo, unachosema ni kweli. You need a fitting size both in width and length. In the two scenario, mwanamke hawezi kutosheka. karefu kembamba kanaogelea/kanapwaya, nene fupi ina-hang haifiki chini -up to the cervix
 
hahaha mkuu ur crazy lol!!
 
Mkuu anza kula angalau milo sita midogo midogo kwa siku ili kuondoa kitambi na fanya mazoezi kidogo. kitambi ni dalili ya slow metabolism, hii kitu ikiendelea itapunguza hata yale mambo mengine.

Mkuu huwezi amini jinsi ninavyojibidiisha kutoa hii kitu na kupunguza uzito lakini mafanikio ni kidogo sana!Nimeacha kula nyama nyekundu kabisa nina mwaka sasa,sinywi bia,nakunywa chai ya sukari kijiko kimoja,vegetables kwa sana na nakwenda gym lakini huu mwili umening'ang'ania tu! Hata hivyo si mnene kivilee sana lakini ninaumbo!
 
Angalia hii link
 
wa dizaini hii wakipiga kimoko tu hoi,ndo dem wng fln kicheche alivyoniambiaga
 
hahaha mkuu ur crazy lol!!

No I am a biologist and therefore I am talking from a biological point of view. Unajua unapoongelea haya mambo wengi wanasahau kuwa these are purely biological and particularly evolutionary phenomena being adaptations for the perpetuation of the species
 
Back
Top Bottom