Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 401
heri yenu wenye magari, sie wa kwenye daladala hamna wa kutuomba namba ya simu!
Ukiwa unamlipia nauli, ile shs300, au 400 atakuomba.
heri yenu wenye magari, sie wa kwenye daladala hamna wa kutuomba namba ya simu!
Ukin'gan'gania sana utakumbuka kununua la kwako lini sasa.
eti eeh? ila jamaa wanashauri usimkaribishe kwako, umalizane nae huko hukoUkiwa unamlipia nauli, ile shs300, au 400 atakuomba.
Nitafute langu la kazi gani wakati nshatafutiwa???
Kazi yangu ni kuwatafuta waliotafuta, Period!
Wadada wa dot com hawana maana, anaanzia mbali kujua unajishughulisha na nini and by then anajifanya anashida na unachofanya kama mteja au ana ofis yao watakuwa wateja ili tu atoe namba au apate ya kwako, na mikpeana tu balaa as unajua wanaume hatuna ujanja kwa warembo, mnachokera ni ving,ang,anizi tu mda wa kuachana ukifika, maana tukiexchange contacts kinachofata urafiki hapo sasa ndo balaa linapoanza katika urafiki wa kijana wa kike na kiume wanaoanza maisha
Habari zenu warembo wote wa jamii forums, kwa muda mrefu nimekutana na hili jambo, kama mnavyojua mjini usafiri shida hasa mida ya kwenda vibaruani, so unapomsaidia mtu lifti hasa mdada unakuta akifika ofisini kwake/ college anafosi umuombe namba (direct or indirect) hata kama haukuwa na interest nae, na katika stories na vijana wenzangu kibaruani wengi wamekutana na that situation,,, Warembo tupeni majibu jamvini hii inakuaje?
Dereva hata wa gari la Mkaa anaishia kupendwa sana na wanawake!
There is a secret behind driving!
Huyo sasa asistant pilot wa gari
Nampa BIG Up JK kwakusema ni "viherehere vyao"
Take my advise usitoe lifti tena kwa mdada, weka gari tinted pita kama huoni vile.
na kwani ni lazima utoe hiyo namba?? una hiari ya kukataa au kukubali the same na kwenye lift!
Ipo siku utakuja kutekwa!!