Kwa nini wadada mkipewa lifti, mnatoa namba hata kama hamjaombwa?

Loh! Balaa linakujaga pale anapokuwa kavaa kimini sketi alafu kila mara anabadilisha pozi. Kama unasukuma gari manual, anasogeza paja karibu na mpini, kila ukichenji gia unakuwa unalipapasa! Balaaa! Full mitego! Mi nlishaacha kabisa kutoa lifti.
 
Because u r expected!
U feel like u r obliged!
As the means of saying thank u!
In case he want to help u next time!
Kubwa kuliko yote 'Ili ajisikie; kama unavyojikia wewe right now'!
 
Loh! Balaa linakujaga pale anapokuwa kavaa kimini sketi alafu kila mara anabadilisha pozi. Kama unasukuma gari manual, anasogeza paja karibu na mpini, kila ukichenji gia unakuwa unalipapasa! Balaaa! Full mitego! Mi nlishaacha kabisa kutoa lifti.

Hata mimi sitoi lift kwa mabrazamen kwani almost all the time, nimepiga mini; oneday l had to give a lift to traffic police, he was about 5 yrs my joniour hakuwa comfortable hadi raha! LOL
 
Wengine huenda mbali.............atarekebisha siti......ataongeza AC........Atakunjua light shades ajiangalie kwenye kioo........atapungia nje....basi balaa tupu

Ongezea "atapiga na honi"!
Wanaume kwa kutafuta ujiko! Ukute hakuna hata aliyekupa namba ya simu basi ni uzushi mtupu.
Kwa kawaida kama unachukua taxi fulani na ukaiona inakufaa huwa tunachukua namba for convinience.Si unajua tena siku hizi binadamu hawaaminiki?
 
Jamani jamani jamani...... Dah!

Pole shangazi, vumilia tu ndo ukubwa huo. na ktk hili kuna ukweli, yaani haya magari yatatuharibia vitoto vyetu. Ngoja nianze ufisadi mapemaaaaaaaaaa, ili mwanangu kama kudangwanywa anaswe kwa vingine sio gari jamani, mweee!

Mwingine unakuta naye analo lakini anataka la kuendeshwa, sijui kuna shetani gani kwenye gari!
 
jua kali jamani lazima uangalie na kesho itakuaje

Tatizo mambo ya kuexchange contacts yanapelekea kumegana na kuanza kung'ang'aniana ohh lazima unioe, ndo maana kuepusha shari kama sipo interested naamua kutoanzisha chochote hata namba siombi, but unakuta mtu anakuwa kama anajisikia vibaya kutaka umuombe namba, na siku hizi ujanja kutompeleka kwako kama unaishi bachelor maana anaweza akahamia na kufosi ndoa chanzo ni lifti then namba then kuchat mara kamegwa mwisho kafos harusi lol bila kutarajia
 
hv tuwe serias mtu atakulazimishaje kukupa no yake kiukweli sikuelewi rafiki
 
Tatizo wadada hawana huruma, magari yenyewe ya mikopo anataka kukuongezea gharama nyingine za kuanza kuchat, then kumegana na kuanza kufosi harusi, jamani mkiona kimya mjue tunajipanga kwanza, mkipeana namba tu tu kinachofata kumegana na ukimkaribisha kwako kama ndo unaanza maisha bachelor umeumia maana atafos hadi harus bila kutarajia wakati hata mkopo haujaumaliza, sio kama hamtuvutii, tunapotezea kuepusha shari maana nynyi watoto wa kizazi hiki mkiamua kufosi kitu hadi kinafanikiwa
 
hv tuwe serias mtu atakulazimishaje kukupa no yake kiukweli sikuelewi rafiki

Wadada wa dot com hawana maana, anaanzia mbali kujua unajishughulisha na nini and by then anajifanya anashida na unachofanya kama mteja au ana ofis yao watakuwa wateja ili tu atoe namba au apate ya kwako, na mikpeana tu balaa as unajua wanaume hatuna ujanja kwa warembo, mnachokera ni ving,ang,anizi tu mda wa kuachana ukifika, maana tukiexchange contacts kinachofata urafiki hapo sasa ndo balaa linapoanza katika urafiki wa kijana wa kike na kiume wanaoanza maisha
 
heri yenu wenye magari, sie wa kwenye daladala hamna wa kutuomba namba ya simu!
 
Aisee nimeishiwa maneno kabisa hapa...dah haya bana
 
Wadada wa dot com hawana maana, anaanzia mbali kujua unajishughulisha na nini and by then anajifanya anashida na unachofanya kama mteja au ana ofis yao watakuwa wateja ili tu atoe namba au apate ya kwako, na mikpeana tu balaa as unajua wanaume hatuna ujanja kwa warembo, mnachokera ni ving,ang,anizi tu mda wa kuachana ukifika, maana tukiexchange contacts kinachofata urafiki hapo sasa ndo balaa linapoanza katika urafiki wa kijana wa kike na kiume wanaoanza maisha
mmmhhhh????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom