MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,854
- 6,209
Habari zenu warembo wote wa jamii forums, kwa muda mrefu nimekutana na hili jambo, kama mnavyojua mjini usafiri shida hasa mida ya kwenda vibaruani, so unapomsaidia mtu lifti hasa mdada unakuta akifika ofisini kwake/ college anafosi umuombe namba (direct or indirect) hata kama haukuwa na interest nae, na katika stories na vijana wenzangu kibaruani wengi wamekutana na that situation,,, Warembo tupeni majibu jamvini hii inakuaje?