Kwa nini wachezaji wengi wa Tz wanadanganya umri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wachezaji wengi wa Tz wanadanganya umri?

Discussion in 'Sports' started by Ulimakafu, Jun 20, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Wenzetu kule Afrika Magharibi na kwingineko,wenzetu huwa wanadanganya ili waweze kwenda kucheza Ulaya. Lakini hawa wa kwetu ya nini kudanganya umri wakati wanaishia hapa hapa Ligi ya Bongo?Mfano Juma Kaseja,Chuji,Boban nk, nk.
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hao uliowataja walidanganya kwamba wana miaka mingapi na umri wao sahihi ni miaka mingapi? Na wewe unahusiana nao vipi mpaka unajua kwamba wamedanganya umri? Je ulikuwepo wakati wanazaliwa hadi ujue kwamba wanadanganya?
   
 3. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kielelezo rahisi tu Chuji ni Kaka wa Pius Kisambale lkn inakuwaje umri wa Chuji unao'reportiwa uwe mdogo kuliko wa Mdogo wake kama siyo yale mambo ya Felix na Stopila(Sunzu),haya huyo Boban ni mdogo wa kina Idd Moshi wamepishana miaka minne sijui lkn kina Idd Moshi wamecheza soka la ushindani mpaka katika umri mkubwa(above 30) wakatoka na sasa hivi wameshasahaulika kabisa bado Boban aliyeanzia team fulani za Tabora kule miaka ya mwishoni mwa 90 ana'reportiwa kuwa na 25 years old,haya tukija kwa huyo Kaseja ndo kabisaa huu msimu wa 2011/2012 ulikuwa ni msimu wake wa 11 wa Ligi Kuu(yaani ameanza soka la ushindani mwaka 2000,hiyo ni ukiacha team zile ndogoX2 alizoanza nazo) lkn ukiangalia Profile yake eti amezaliwa mwaka 1985 what does this mean yaani ameanza kucheza soka la ushindani akiwa na miaka 15?..shame on him.
  Hata ukiangalia sura zao zinaonyesha kabisa kuwa wote wapo kwenye early 30th.
  Tusiwe tuna'support ujinga haya ndo mambo yaliyotu'cost kwenye michuano ya Vijana ya Africa kwa issue za kudanganya umri.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Spot on mate.Huo ndo ukweli.
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  https://www.jamiiforums.com/sports/235340-umri-wa-chuji-wakwama.html
   
 6. M

  Masuke JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu umehangaika kuandika maelezo mengi lakini hujajibu nilichouliza, maswali yangu yalikuwa very straight, ungejibu tu maswali yanini ujaze maelezo mengi hivyo.
   
 7. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kiongozi samahani mambo ya ki'undergraduate(ya kutafuniwa kila kitu) nilishayasahau, katika level za Masters unapewa topic tu unaingia Library unakwenda kuchimba mwenyewe details,hayo ndo yaliyonilemaza...usijali lkn next time nitakutafunia.
   
 8. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  umemjibu vyema sana aiseee huyu mtu....
  Huo ndo ukweli na ndio maaana soka letu haliendelei, kila siku twapiga hatua 1 mbele na kurudi sita nyuma
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Ni ukweli ambao watu wengine hawataki kuusikia.
   
 10. M

  Masuke JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapo unataka tu nikupongeze kwa kusoma masters, hongera. Lakini nakuwa na wasi wasi na masters za siku hizi kama unaulizwa kitu badala yake unajaza maelezo bila kujibu ulichoulizwa, no wonder pamoja na kuwa na watu wengi wenye masters lakini bado watalaam wa kutosha nchi haina.
   
 11. N

  Ngarna JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,975
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Masters gani uharo mtupu.Unaulizwa swali jibu.Pengine Masuke umeuliza swali gumu.Masuke umerespond to a mosquito
  bite with a hammer.Jaribu ku simplfy swali labda masters holder ataweza kujibu.
   
 12. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si wachezaji pekee hata afanyakazi engi hudanganya umri ili wakae kazini mpaka wachoke. Hili ni tatizo kwa kuwa mfumo wa hifadhi ya jamii hautoi fursa ya watumishi wa tasnia mbalimbali kunufaika na jasho la kazi zao. Kwingineko wafanyakazi wamekuwa wakikataa kuongezwa umri wa kustaafu kwa kuwa wanapata donge nono na linawapa fursa ya kufaidi maisha uzeeni, kutalii sehemu mbalibali duniani na hata kupata malezi toka serikalini. Mpaka leo hii, wanamichezo hawako kwenye mfumo wowote wa hifadh ya jamii au hata bima za maisha yao. Mara nyingi huishia kuwa malofa wa kutupwa. Mfano ni Jellah Mtagwa, Isihaka Hassan, Hamisi Kinye, Mambosasa, Saidi Mrisho (Zico wa Kilosa) na wengneo wengi waloachishwa soka kwa sababu ya majeraha
   
 13. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ngarna utaki unaunga'unga ufike huku juu ndo utathibitisha hilo nililimueleza Masuke,umeshindwa kabisa unaacha...ulazimishwi kuamini.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  nimeikubali hii mjomba.
   
Loading...