Kwa nini wabunge wana ruhusu mawaziri kudanganya kila siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wabunge wana ruhusu mawaziri kudanganya kila siku

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POSHO MAVYEO, Jul 3, 2011.

 1. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa nyingi za serikali ni za kutengeneza hali wabunge wakiangalia uongo huo ukiendelea

  kwa mfano
  1. Membe anapoziita hela za RADA charge ali rada tulinunua kwa karibu £30milioni na sasa BAE wanatoa £29 milioni? kuna change gani hapo? kuna rada ya £1milioni
  2. Pili anaposema kuna mahakama iliamua kesi ya BAE hali haya ni makubaliano katika ya BAE na SFO na kuthibitishwa na mahakama, kama ni mahakama iliamua ni kwa kesi ipi na ilifunguliwa na nani? na mtuhumuwa na mashahidi walikuwa wakina nani?
  3. Naibu spika alipokuwa uingereza alisema hajui wanali hojiwa na SFO kwenye sakata la RADA na kusema kuna uchunguzi unaendelea tanzania hali TAKURUKU walishamaliza kazi.
  4. Wiki iliyopita Nyarandu kasema serikali ya kikwete imejenga barabara nyingi kuliko hawa zote alikuwa na maana gani? kama ni barabara kwa urefu wa kilometre bila kujali ni kiwango gani basi ni serikali ya kwanza ndio ilijenga barabara nyingi .NUKUU taarifa ya waziri mkuu
  5. Pinda na suhala la posho za wabunge mpaka sasa meshatoka kauli mbili ndani ya mwezi mmoja
  6. Kuna shutuma watu wanatafuta umarufu inatolewa bungeni na nje ya bunge hakuna aliyesimama na kuomba ifafanuliwe , maana kama kuna wabunge wanatumia bunge kwa manufaa yao binafsi ni wazi wamezunja sifa za kuwa wawakilishi,
  7. Stella Manyanya na message kutoka kwa Josephine kuna hushahidi unaonyesha mbunge aliongea bunge kitu kisicho cha ukweli
  wandugu hii hali inapaswa kupigwa vita hasa na wabunge waliopo bungeni.
  huu ni wakati wetu wananchi kuwatumia salamu wengi wanafika hapa jamvini ujumbe utafika.
  nawasilishwa
   
Loading...