Kwa nini wabunge wa CCM wanadhani watu wasio wanachama wa CCM ni raia daraja la 2???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wabunge wa CCM wanadhani watu wasio wanachama wa CCM ni raia daraja la 2????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Jul 15, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nimekerwa na kufedheheshwa sana na wabunge wa chama cha mapinduzi kwa kudhani kuwa nchi hii ni ya wana ccm million 5 au 6 tu???

  Umefika wakati kuwapumzisha ili wajue kuwa nchi hii ni yetu sote
   
 2. k

  kagosha Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nimefedheheshwa sana na kauli ya Lembeli mbunge wa kahama kwamba ameamua kumsemea kada wa magamba aliyedhulumiwa na barrick angekuwa wa chama kingine asingekuwa na sababu ya kufanya hivyo!!! mwili ulinisisimka. Sishangai UDOM wamerudishwa chuo kupitia kadi za vyama vyao!
   
Loading...