Kwa nini waajiri ni wakatili kiasi hiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini waajiri ni wakatili kiasi hiki

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kimboko, Jun 12, 2012.

 1. K

  Kimboko Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakubwa kwa wadogo hebu nisaidieni, kwa nini inapofika mwajiriwa anadai haki yake huwa inakuwa ngumu sana kwa mwajiri kukubali kulipa madai ya mwajiriwa ata kama ni haki yake???

  Hebu naombeni ushauri kwa sababu kuna watu wanaitwa MADEREVA wamemikataba yao na TASAF halafu wakaambiwa wakalime japo hwakupewa haki zao na kile walichopata walilipia madeni yao ya mikopo ya benki ata kama hakitoshi, kwa maana ya kuwa wameondoka KAPA bila chochote!!! Hebu naomba wenye uzoefu na sheria za kazi wanisaidie jamani

  Asanteni kwa ushauri wenu mtakaotoa.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  pole sana mkuu. vumilia ndivyo maisha yalivyo
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama walikopa na hawajamaliza mikopo huwa wanalamba asante yako yote
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ndio maana sitaki kuajiriwa!!
   
Loading...