Kwa nini vyama vya Siasa havikubaliani Tanzania?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Tumeshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni harakati mbalimbali za kuungana kwa vyama vya siasa Tanzania lakini baada mda mfupi jitihada hizo husambaratika.Vilevile tumeshuhudia muafaka wa CCM na CUF ukivurugika bila mafanikio kutokana na kutoaminiana kwa wanasiasa.Je sababu ni nini hasa,karibuni.
 
Back
Top Bottom