marobry100
Member
- Jul 13, 2011
- 6
- 3
Halafu sio haki hata kidogo kwa wageni kupewa asilimiaa kidogo hivyo kozi tukija kwenye soko lenyewe watanzaniaa bado hatuwezi kuran biashara ya uwindaji ya wanyamapori ( hunting industry) kwanza management skills hatuna, pili market competition hatuwezi,,kuviboresha hivhyo vitalu hatuwezi, labda mniambie watanzania tumevishika tu alafu tunaviuza kwa wazungu..lasivyo vitadorora vyote..