Kwa nini viongozi wengi wa CCM ni matapeli, jobless, na watu walioshidwa maisha?

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Wana JF
Hivi siasa sii ajira? inakuaje watu wengi ambao ni matapeli, wahuni, wavivu, wanaopenda easy life, dhuluma, na pesa za chapuchapu ndo unakuta ni wenyeviti na makatibu wa ccm? Ina maana chama hakiwezi kuwa na watu waadilifu?je hawa viongozi hawawajiki kwa wanachama?Kuna jamaa moja akaja akapanga chumba hoteli wiki kadhaa nakula na kalala siku ya kuondoka anapewa invoice alipe, anasema halipi, kisa mie ccm.eti wakicheza naye atafunga biashara yao. sasa wale wawekezaji wakaogopa sana, na hawakuweza kufanya lolote. Sasa imagine ccm kama mfumo wake wa uongozi umeoza kiasi hiki, na ndo baadhi yao wanachaguliwa ktk nafasi mbalimbali serikali. je tutafika? Hivi chama kikishika serikali hakiweza kumpa nafsi mtanzania yeyote nafasi bila kujali itikadi yake bali uwezo alionao wa kuleta mafanikio ktk kazi husika? kwa nini mkataba kwa kazi uendane na chama?
 
Kamanda bado nipo kwenye thread... Cha kushangaza ni CCM pekee ndio chama cha siasa! Sijui hivyo vyama vingine ni vya nini?

Vyama vya kutetea wananchi zidi ya dhulumat za CCM hahahahaahh usinipige na jembe wala nyundo, ni mawazo yangu binafsi!
 
Vyama vya kutetea wananchi zidi ya dhulumat za CCM hahahahaahh usinipige na jembe wala nyundo, ni mawazo yangu binafsi!
Kheeee heeee heee...! Pamoja na kujaribu kumsaidia mleta mada, bado anaonekana hajui mambo mengi... Zaidi ya stori za vijiweni

Wana JF
Hivi siasa sii ajira? inakuaje watu wengi ambao ni matapeli, wahuni, wavivu, wanaopenda easy life, dhuluma, na pesa za chapuchapu ndo unakuta ni wenyeviti na makatibu wa ccm? Ina maana chama hakiwezi kuwa na watu waadilifu?je hawa viongozi hawawajiki kwa wanachama?Kuna jamaa moja akaja akapanga chumba hoteli wiki kadhaa nakula na kalala siku ya kuondoka anapewa invoice alipe, anasema halipi, kisa mie ccm.eti wakicheza naye atafunga biashara yao. sasa wale wawekezaji wakaogopa sana, na hawakuweza kufanya lolote. ..

Then hitimisho lake ni kichekesho kingine...

Hivi chama kikishika serikali hakiweza kumpa nafsi mtanzania yeyote nafasi bila kujali itikadi yake bali uwezo alionao wa kuleta mafanikio ktk kazi husika? kwa nini mkataba kwa kazi uendane na chama?

Na ukisoma heading ya thread basi huna budi kusema kuwa hii ni krapu
 
Back
Top Bottom