kwa nini viongozi ccm wana tofautiana maamuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini viongozi ccm wana tofautiana maamuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TOWNSEND, Jan 9, 2012.

 1. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Jana kupitia tbc nilimuona naibu waziri tamisemi anakataa kupokea boat kule muleba eti imenunuliwa ni chakavu sasa najiuliza wabunge waliowengi ni wa ccm ndio waliopitisha bungeni sheria ya manunuzi ya vitu used.
  inakuwaje tena anakataa kuizindua?
   
Loading...