Kwa nini vijana wengi waonapo uzee unapiga hodi wanaanza kuwa wacha mola sanaaa?

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,302
2,000
Leo hii mesikia Mzee Yusufu abadili mwelekeo na kuanza kuimba qaswida! mejiuliza maswali mengii mfano?
1. Nini kimfanyacho mtu awapo na nguvu na ufahari asiwe mcha mola kiivo?
2. Katika jamii ya kawaida ukiona kijana mcha mola, maneno mengi husemwa juu yakee?
3. Mwanamuziki wa marekani - R-Kelly naye alianza imba nyimbo za dini baada ya kula bata sanaaaa ?
Ujana maji ya motoo...mche mola wako katika ngazi zote za maisha yakooo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom