Kwa nini vijana wengi wa jf wanashabikia kuanza mapenzi kabla ya ndoa?

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Hi!

Je hii ni kwa sababu ya kutopata malezi mema kutoka kwa wazazi?Au viongozi wa dini hawafanyi majukumu yao ipasavyo?Au ni kutokana na kusahau mila na desturi zetu!

Au sayansi na technolojia inasababisha!Lakini sayansi na technoolojia haimlazimishi mtu akatoe usichana au ujana wake kabla ya ndoa.

Nimepata mtazamo huu kutokana na vijana wengi wa JF kushangilia utoaji wa bikra kabla ya ndoa, wengi wanaona ni hali ya kawaida, vijana wengi kusema bila aibu lazima u test machine kabla ya ndoa.Wengine wanasema lazima upime oil, kuwa na nyumba ndogo limekuwa jambo la kawaida kwa vijana wengi wa JF.Maandiko matakatifu kuran na biblia vyote vinasisitiza msichana na mvulana ni lazima ajitunze hadi wakati wa ndoa pekee.

Ujumbe: Tusipokuwa makini huwenda tukawa wazazi tusiowapa watoto wetu mafundisho yanayompendeza Mungu.Siku zote shetani humzaa shetani hawezi kumzaa malaika.
 
hi!

Je hii ni kwa sababu ya kutopata malezi mema kutoka kwa wazazi?au viongozi wa dini hawafanyi majukumu yao ipasavyo?au ni kutokana na kusahau mila na desturi zetu!

Au sayansi na technolojia inasababisha!lakini sayansi na technoolojia haimlazimishi mtu akatoe usichana au ujana wake kabla ya ndoa.

Nimepata mtazamo huu kutokana na vijana wengi wa jf kushangilia utoaji wa bikra kabla ya ndoa, wengi wanaona ni hali ya kawaida, vijana wengi kusema bila aibu lazima u test machine kabla ya ndoa.wengine wanasema lazima upime oil, kuwa na nyumba ndogo limekuwa jambo la kawaida kwa vijana wengi wa jf.maandiko matakatifu kuran na biblia vyote vinasisitiza msichana na mvulana ni lazima ajitunze hadi wakati wa ndoa pekee.

ujumbe: tusipokuwa makini huwenda tukawa wazazi tusiowapa watoto wetu mafundisho yanayompendeza mungu.siku zote shetani humzaa shetani hawezi kumzaa malaika.

thibitisha!
 
sio kila aandikayo mtu hapa ni ushauri

Pili,siyo kila aandikayo mtu amaanisha.....wengi wetu ni mashabiki na si wafusi wa mambo husika
 
sio kila aandikayo mtu hapa ni ushauri

Pili,siyo kila aandikayo mtu amaanisha.....wengi wetu ni mashabiki na si wafusi wa mambo husika

Kama ni kweli unachosema basi mnapotosha jamii.
 
Hii mkuu wala sio vijana wa jf....hivi vitu vingine are so difficult...sio rahisi kuvicontrol vinatokea tu...
 
"Kiwatokacho ndicho kilichojazwa mioyoni mwao au ndicho wakiaminicho katika fikra zao".....Ila naomba kuuliza, umejuaje kuwa wanaoshadadia ni vijana na wala sio rika jingine?
 
Hi!

Je hii ni kwa sababu ya kutopata malezi mema kutoka kwa wazazi?Au viongozi wa dini hawafanyi majukumu yao ipasavyo?Au ni kutokana na kusahau mila na desturi zetu!

Au sayansi na technolojia inasababisha!Lakini sayansi na technoolojia haimlazimishi mtu akatoe usichana au ujana wake kabla ya ndoa.

Nimepata mtazamo huu kutokana na vijana wengi wa JF kushangilia utoaji wa bikra kabla ya ndoa, wengi wanaona ni hali ya kawaida, vijana wengi kusema bila aibu lazima u test machine kabla ya ndoa.Wengine wanasema lazima upime oil, kuwa na nyumba ndogo limekuwa jambo la kawaida kwa vijana wengi wa JF.Maandiko matakatifu kuran na biblia vyote vinasisitiza msichana na mvulana ni lazima ajitunze hadi wakati wa ndoa pekee.

Ujumbe: Tusipokuwa makini huwenda tukawa wazazi tusiowapa watoto wetu mafundisho yanayompendeza Mungu.Siku zote shetani humzaa shetani hawezi kumzaa malaika.

Nafikiri umepotoka kidogo. Suala hapa si vijana wa JF tu bali ni simple biology ya binadam yeyote yule, pale anapobalehe anakuwa na hamu ya kukamua na kukamuliwa. Kwani wewe hujawahi kukamua ama kukamuliwa kabla ya kuoa/kuolewa? Kama hukuwahi basi si kosa lako ila ipo siku utatoka tu nje ya ndoa upende usipende. Kumbuka, sikuombei ila ndivyo hali ilivyo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom