ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 921
- 1,800
Asalam wadau wa kilimo.
Mm ni mdau nambari moja wa kilimo nchini.
Nimekuwa nikihudhuria, kusoma, kusikiliza, kuangalia mambo yahusuyo kilimo kwa nia ya kujifunza na kuongeza ujuzi.
Kama zilivokazi nyingine kilimo pia kina changamoto zake.
1. Ukosefu wa mitaji
2. Upungufu na ughali wa pembejeo
3. Mabadiliko ya tabia ya nchi
4. Ukosefu wa masoko
5. Changamoto ya bei (price fluctuations) n. K
Pamoja na changamoto hizo zote hakuna mtu huzungumzia USHIRIKINA yes USHIRIKINA kwenye kilimo kama changamoto kubwa sana. Amini msiamini kwa uzoefu wangu kwenye kilimo naweza sema bila kupepesa macho kuwa ushirikana upo na unafanya kazi usiku na mchana kwenye kilimo.
1. Unaweza nunua Ng'ombe aliyekuwa anatoa maziwa lita 30 kwako asitoe hata lita mbili pamoja na kumpa mahitaji yote
2. Kuku asitage hata yai moja
3. Ekari moja ya mpunga ukapata gunia 4 za mpunga jirani yako akavuna dunia 30.
4. Ukapanda mazao hata yasiote.
Wengi watakwambia umekosea sijui nn
Ila part ya ukweli ni kuwa wazee wa kamati huwa wako kazini.
I have vivid examples on this na baadhi ya wazee wanakwambia kijana dunia pana ila ukisha tafuta msaada unaona mambo yako mstarini.
Somo: Vijana mnaotaka kuingia kwenye kilimo kwenye akili yenu fikilieni namna ya kukabili hili kwa maombi au vinginevyo.
Asalam Alekum.