Kwa nini uteuzi wa wakurugenzi wa bodi unawalenga zaidi wanasiasa wastaafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini uteuzi wa wakurugenzi wa bodi unawalenga zaidi wanasiasa wastaafu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hittler, Jul 22, 2011.

 1. h

  hittler Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ya leo imekumbwa na mfumo siasa, kila kitu siasa, chakula siasa, ushuru siasa,watendaji wa wizara siasa uteuzi wa wakurugenzi siasa hii ina kera sana. Huu mfumo ni wa kibaguzi kwa maana mtu amekaa kwenye siasa takribani miaka 40 anaamua kustaafu kwa idhini yake alafu la kushangaza rais anapekuwa pekuwa majina na kumteua ata kama hafai. Watanzania jiulizeni, hatuna watu ambao wanasifa za kuwa wakurugenzi zaidi ya wanasiasa wastaafu waliokaa kwenye nadhifa mbalimbali za serikali bila kuleta mabadiliko yeyote ya kiuchumi? Hizo ajira kwa vijana zitapatikana vipi kama wazee ndiyo wanaopewa vipau mbele? Naomba mnisaidie kujua hilo
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ndio maana hatuendelei! Mtu hata mbinu za kisasa hana halafu unampa ukurugenzi atatoa ushauri upi kama sio kuua shirika?
   
Loading...